Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Duh Mustafi sijui ana tatizo gani siku hizi ya anafanya makosa ya kizembe sana.
 
Ila 22 yrs 3 EPL titles....! Mou has 3 as well
Mkuu ongezea basi...
FA Premier League (3): 1997–98, 2001–02, 2003–04
FA Cup (7): 1997–98, 2001–02, 2002–03, 2004–05, 2013–14, 2014-15, 2016-17
FA Community Shield (5): 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015
49 unbeaten matches
Training Complex (Anelkas money)
Transition from Highbury to Emirates..
Beautiful football..
 
Unafikiri kwanini kashurutishwa ajiuzulu? Kwasababu 3 EPL titles in 22yrs(none in the last 15) aint good enough. Mediocre.
 
Ndiomana tunambebesha yeye lawama kwasababu hakuweza kulidhibiti hilo tatizo na of course alishindwa.

Na pia niukweli ulio wazi kabisa kua wachezaji kwa misimu mingi wameiangusha Sana timu nakwakujua mwalimu sio mkali hawakujali sana.

Tumekua pia na avarage players wengi sana wa viwango vyakupanda na kushuka.tutapitia kipindi kigumu bila Shaka lakini tukipata mwalimu makini tutairudishia club hadhi yake.
 
HT
Nothing to separate two sides,kwa makosa ya backline yetu nawaza ukitumbukizwa Chicharito sijui kama tutakua salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…