Kurudi UCL mwakani itabidi mchukue Yuropa lkn haiwezekani sababu hilo kombe ni la Atletico Madrid
Nadhani mtaendelea kuwepo Yuropa kwa miaka 7 au nane zaidi sababu teams za kuwepo UCL toka EPL zinajulikana sasa!
Nani sasa hayaogopi Majogoo!?