McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Kwenye haya mashindano naziona timu 3 zenye nguvu arsenal,atletico na lazio kuna huyu wa nne rb leipzig huyu king'ang'aniz haelewek kasimamia wapFT
Arsenal 4-1 CSKA
'Sexy football' ni kitu ambacho nimekiona leo baada ya muda mrefu,tulistahili kupata goli zaidi ya 4 ila sio kesi acha tuone itakuaje tukienda kwa walevi 2nd leg ila leo nimefarijika na kiwango cha wachezaji.
Fukuzafukuza inaweza isibadilishe matokeo kuna muda kuipata cream ktk timu huchukua muda hata aje kocha gan na akasajili kama cream ya wachezaj wazur haikupatikana bado timu itachukua muda kupata mafanikio mfano madrid wamehangaika toka 2003 had 2009 ndipo wakaanza kurud ktk jina lao wamepita makocha na plyers wa maana wengi sana ukija buyern nenda barca now manchester united the same to arsenalWenger out ,out now
I don't care. Wenger out ..Fukuzafukuza inaweza isibadilishe matokeo kuna muda kuipata cream ktk timu huchukua muda hata aje kocha gan na akasajili kama cream ya wachezaj wazur haikupatikana bado timu itachukua muda kupata mafanikio mfano madrid wamehangaika toka 2003 had 2009 ndipo wakaanza kurud ktk jina lao wamepita makocha na plyers wa maana wengi sana ukija buyern nenda barca now manchester united the same to arsenal
Kwenye haya mashindano naziona timu 3 zenye nguvu arsenal,atletico na lazio kuna huyu wa nne rb leipzig huyu king'ang'aniz haelewek kasimamia wap
Atletico anastahili hii ndoo naongea kama shabiki wa football,ila kiushabiki sio mbaya kama YUROPA ikaja gheto kwetu iwe ni mlango wa kurudi UCL ingawa hatujajipanga kurudi.
OKKombe la FUTUHI linachezwa alhamis
Kwenye haya mashindano naziona timu 3 zenye nguvu arsenal,atletico na lazio kuna huyu wa nne rb leipzig huyu king'ang'aniz haelewek kasimamia wap
Ramsey noma aisee.Kafanya mengi maajabu.Kwa mwendo huu mi naona Atletico akikutana na arsenal itapendeza fainal.
Arsenal inaimprove kutokana na majeruhi kupungua.
View attachment 736106
We've got Ozil...
Mesut Ozil...
I just don't think you understand.
He's Arsene Wenger's man,
He's better than Zidane,
We've got Mesut Ozil....
Kafunga mbili kwa nungeπππ......mkuu atletico katokaje....?
huyo tukutane fainali.......Kafunga mbili kwa nunge