Arsenal (The Gunners) | Special Thread





Someone please give Wenger a contract extension.....!!
 
Mashabiki wa Arsenal mna tabu nyie ila mshazoea vipigo msijifanye mnalalamika akati ndo kawaida yenu.
 
Hapo ndo umuhimu was kipa nzuri unaonekana

Ungekuwa cheki hiyo penati ungekuwa gooo
 
Hapo cheki kaokoa ndo basis kafuta udhaifu wore

Wanafungwa akiokoa kamoja ........shiiiida
 
Leo walijaribu kucheza kwa kujituma sana

Lakini kila shambulizi Kali......likazaaa goli

Mwisho wakalegea na kukubali kichapo

Sijaona asernal akifungwa kigumu.....Sikh hizi wanafungwa kiulainiiiiiiii.....goli hakuna mlinzi
 
FT
Arsenal 0-3 City
Mwisho wa siku timu bora imepata matokeo chanya,Arsenal tuna game na Brighton next sunday(a must win game) then alhamisi tutakipiga na Milan kwenye EUROPA 1st leg tunaanzia ugenini we real need to pick up ourselves kwenye hizi game mbili.
Wanazi mliovamia jukwaa najua wengi wenu mmeumizwa sana na matokeo ila swali ni nani amfunge paka kengele wengi wenu mmechezea kichapo toka kwa hawa City kwenye mzunguko wa kwanza na bado hamjui itakuaje siku yenu ikifika,kila mtu acheze game zake tusimtegemee jirani kukupunguzia gap.
Tukishinda,tukifungwa au tukipata sare bado nitaendelea kua shabiki wa Arsenal,Once a GOONER .............!
 

Kwa mbinde sana... hahahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…