Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yeyeyeee wamechana mkeka.. eee wamechana mkeka.. ohoo ohoo Asembali
 
Hivili Yule Bravo (GK) ndiyo ametowa Assist Kwa Goli la Kwanza!! 😀 😀 😀

Yani Pasi moja tu Kutoka Kwa Kipa (Goal Kick) mpaka Goli!!!
Only in Arsenal
 
Wish him safe return!


Brendan Rodgers could be on his way back to the Premier League - the Telegraph claim he is on Arsenal's shortlist to replace Arsene Wenger this summer. This Is Anfield on Twitter

Arsenal na AW ni chanda na pete watawaingiza sana chaka watu wa media kwa kujaribu kuotea wakati bado AW ana mkataba ambao mwenyewe kasema lazima aumalize.
 
Wacha niwatakie kila la kheri katika mchezo wenu ingawa pana kilima cha kupanda mnatakiwa muonyeshe kwa kujituma uwanjani.
 
Leo vipi mkuu? upo kimya sana tatizo nini? utakuwa ulianza kuishabikia hii timu mwaka 2004 ukajua kila msimu hutachezea vichapo

acha kujificha njoo tu vichapo kawaida mkuu.

leo nipo upande wako walau ufute machungu asikupige

hat trick pep.
 
Sisi ni wanamichezo falsafa yetu ni kupendana tufunge na kuomba ndugu yetu kipenzi asipigwe


Hat trick.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…