zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,880
- 36,760
Uliongelea Kwenye hyo post kwamba kikosi cha milan chenye gattuso na maldini eti arsenal ingepigwa 5 .... Ssa kwani hyo mechi tuliowatungua milan bao mbili kina gattuso na pirlo hawakuwepo?? Ambrosini na seedorf na nesta maldini wote ndani ila ''watoto'' kina fabregas na hleb waliwafundisha hao wazee mpiraKabla Ya Kukurupuka Kureply Ungeliangalia Kwanza Hiyo Post niliyoiquote ilikuwa inazungumzia Nini mpaka nikafikia Kureply hivyo.
Kwa AC Milan hiyo Arsenal angerowa 5
Uliongelea Kwenye hyo post kwamba kikosi cha milan chenye gattuso na maldini eti arsenal ingepigwa 5 .... Ssa kwani hyo mechi tuliowatungua milan bao mbili kina gattuso na pirlo hawakuwepo?? Ambrosini na seedorf na nesta maldini wote ndani ila ''watoto'' kina fabregas na hleb waliwafundisha hao wazee mpira
kama zamani mechi ya AC Milan vs Arsenal ni bonge ya game na ingwaweka wapenzi wa soka duniani katika ushabiki mkubwa wee fikiria huku Gatuso kule Viera na kule Henry na huku Shevchenko je utamu ungekuwaje??
Hi ni ya ligi daraja la nne. Leo mko na timu ya ligi kuu. Tena inaongoza ligi.Agg:
Arsenal 4-2 Ostersunds
Shevchenko alikuwepo kwa mkopo....inzaghi kaladze maldini nesta pirlo gattuso ambrosini seedorf yaani wabishi wote walikuwepo sasa tofauti ya hicho kikosi na cha 2000-05 ni kipi?? Yaani 80% ya kikosi cha Milan cha 2000-05 kilikuwepo badoAcha Kukurupuka Kwani lazima uquote mtu Hata kama Huna cha Kuandika ?
Hiyo ↑↑ ndiyo post niliyoiquote Unafikiria Ni AC Milan ya 2008/09 hiyo Muliyoifunga nyinyi?
Hapo Pana wachezaji Kama Viera & Henry (Ars), Shevchenko (AC) je Walikuemo mulipowafunga?
Kabla Ya Kukurupuka Hapo Panaelezewa AC Milan iliyotamba Ulaya Ya Miaka ya 2000 mpaka 2005 na Arsenal ya miaka ya 2000 mpaka 2005.
Shevchenko alikuwepo kwa mkopo....inzaghi kaladze maldini nesta pirlo gattuso ambrosini seedorf yaani wabishi wote walikuwepo sasa tofauti ya hicho kikosi na cha 2000-05 ni kipi?? Yaani 80% ya kikosi cha Milan cha 2000-05 kilikuwepo bado
Afu kituko unasema arsenal ya viera ingepigwa 5 na AC milan?? Are you serious?? Yaani keown parlour lauren cygan pires wadunguliwe na milan.... Aaaah hayo masihara bhana kumbuka hao ni invincibles usilinganishe na wale vijeba wa milan.
Btw arsenal ya kina eboue na gibbs iliwadungua milan yenye maldini more so san siro ndio sembuse arsenal ya kina henry
Haaahaaaaa bora uende tu maana unataka kulazimisha mambo sasa ushasema kikosi cha millan chenye shevchenko na gattuso hayo ya kuhusu kuflop mwanzoni hukuyataja wwe ulisema tu sheva akiwa na gattuso arsenal ingekula 5 ndio nmekujibu kwamba sheva na gattuso walikuwepo siku mnazabuliwa 2-0 sasa wapi nmekuwa ngassaHivi Shevchenko Wa Mkopo aliyeflop Chelsea ndiye Wa Wa Miaka ya 2000 to 2005?
Kumbe hapa Mimi Ni Messi nabishana na Mrisho Ngassa...
Bora Nikuache tu uendelee! Kwaheri! Mchana mwema.
Kitu ambacho hakiwezi kuja kutokea milele mkuuninasikia game yetu na man city leo haitakuwa live kwenye channel yeyote il
Hata hatujuwi mkuu, babu pale Arsenal anafanya anavyotaka, nani wa kumwambia chochote mkuu?!Mbona arsene anamwamini chambers kumwanzisha game hii!
Lacazette bench...duh, ndio ushindani wenyewe huo..
Lacazette bench...duh, ndio ushindani wenyewe huo..
Asante kwa updates...Lacazette ni majeruhi atakua nje kwa wiki 4-6 na hii ndio wiki ya 2.