Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna jitu limefungwa 3 na timu ya mkiani linamcheka aliyefungwa 2 na totenham...dunia haiishi vituko..
Uko sahihi ukifungwa na Totenham hupotezi point tatu. Kumbuka hiyo timu ya mkiani tangu ipate kocha mpya katika mechi nane imepoteza mchezo mmoja. Mabadiliko ya Kocha huenda yameleta mwelekeo chanya. Sanchez ameshindwa kuwasaidia???.Mchezo wa mpira siyo wa kuchekana ....
 
Wenger amechemsha kumuuza Giroud
 
Ilikua lazima Giroud aondoke ili tumpate Auba labda kama unamaanisha Giroud ni bora zaidi ya Auba hapo sina tatizo ila nature ya deal yenyewe Wenger yuko sahihi.
Was Giroud part of Auba deal with Dortmund? ???
 
Was Giroud part of Auba deal with Dortmund? ???

Yeap....!mwanzoni walikomaa wanamtaka OG kama sehemu ya deal ila Arsenal wakaona watapigwa parefu na OG aligoma kuondoka London sababu ya familia yake so simply akaenda Chelsea alafu Chelsea wakawapa BvB yule Bats kwa mkopo ivyo wao wakamuuza Auba na hawakua tayari kumuuza Auba bila replacement kupatikana.
AW yuko sahihi au kakosea.?
 
Ilikua lazima Giroud aondoke ili tumpate Auba labda kama unamaanisha Giroud ni bora zaidi ya Auba hapo sina tatizo ila nature ya deal yenyewe Wenger yuko sahihi.
Giroud tangu ametua Arsenal hajawahi kupata striker wa kumpa pressure,wengi waliosajiliwa walikuwa na viwango vya chini ukiwalinganisha na Giroud (Chamakh,Wellbeck etc) so ame-relax hana pressure

Kuanzia last season Wenger alianza kumtumia Giroud as plan B kwenye mipira ya juu na amekuwa na efficiency kubwa sana ukiangalia ratio ya minutes per goal na hakuna mchezaji anayefanana nae hapo Arsenal.Sioni tofauti ya uchezaji wa Auba na Lacazette kumbuka Wenger amenunua 2 striker kwa almost paund mil 110 na Giroud alikuwa willing kuwa back up striker
 
Angeweza kujaribu another swap deal Batshuayi vs Giroud huenda Chelsea wangekubali maana hawakuwa na namna
 
Kha kha kaaaaaaaa kwa hiyo umehalalisha kufungwa na kibonde
 
Ogopa matapeli Muarabu uyu HAUZWI heeee heeeee kuna watu walikomaa eti wanamchukua buree.
Asante Ozil hii ni bonge la habari njema nilikua nasubiri itangazwe rasmi.
Gooners bhana...mchezaji huyu hajawahi hata kuwa mchezaji bora wa wiki siku za karibuni eti kwao ndio habari ya mjini.
 
Good analysis....Goli lake dhidi ya Burnley alipata FIFA award of the best goal
 

OG alitaka kuondoka mwanzoni mwa msimu aligoma kua back up striker alitaka apewe game time ya kutosha ili aweze kua sehemu ya kikosi kitakachoenda WC na kocha France alimuambia ilo ivyo ilikua suala la muda tu yeye kuondoka maana AW alionyesha wazi hakua chaguo lake namba 1 tena.
Nimesema kitambo sana OG ni striker safi kabisa ila hana foot work kabisa ivyo kusubiria aerial balls tu ni kichaa fulani kitakua bado ametufungia magoli 100+ kwenye mechi 256 (kama sijakosea) lazima nikubali kua ni bora ILA hawezi kua sawa na Auba hasa kwa mahitaji yetu ya sasa au Lacz ambae anahitaji muda kidogo ku-adopt EPL ukimtazama Lacz utagundua ana offer vitu vingi kuliko OG bado naamini AW amefanya sawa ila kama angetokea mwehu wa kumtaka Welbz alafu tukauza OG hapo ningemaindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…