Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Pamoja na mapungufu yake ila OG12 alikua Gooner haswaaaa alie-dedicate kipaji chake kwa ajili ya Arsenal,mara nyingi amenikera ila naheshimu mchango wake kwa Arsenal (100+ goals) si haba.
Ila kwa kua ilibidi uondoke ili Auba (top...top...top STRIKER) awe mali yetu ilibidi tukutoe kafara ili familia ibakie salama kwanza,Kila la heri OG12
Once a GOONER.............
 
Umeandika ukweli pana game alikuwa anawabeba kweli tena kuna moja mmeisha tanguliwa na Bournemouth akaja kuchomoa jioni kabisa.
 
Nakumbuka, sasa kwani mimi niliongelea Arsenal ktk hiyo comment?? Niliongelea Liverpool kutokana na rekodi zao za nyuma, kama msimu huu wame-improve basi vizuri.
Mimi kama mwanamichezo, hainizuii kutoa mawazo yangu kuhusu liver.

Mimi ni The Goonerz wa ukweli, kufungwa hakunivui ushabiki ingawa nakereka.

Hongera kwa ushindi wa jana.
 
Nimeipenda comment yako ya kiungwana na ki-uanamichezo. Gooner for life.....
 
[HASHTAG]#Everton[/HASHTAG] vs [HASHTAG]#Leicester[/HASHTAG]..
Theo kapiga 2!
Kumbe wakiondoka wanakuwa serious eehh?! Nyambafu kabisa..
 
Angeliuza li Welbeck au Iwobi sio OG bhanaa; im sad today.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…