Acha apigwe ili aharakishe usajili yaani huyu babu akishinda siku kama hz OG haondoki.
Siku zote beki ndo wanatupia foward wako wapi na viungo.
Imetulia vyema.
Poleni sana jamani, ndiyo soka!
Sisi wanyakyusa tuna msemo wetu ‘Ongajobha pamusi,pakilo jelipo’
Nadhani kwa kiswahili mnasema usitukane Mamba hujavuka mto!
Poleni sana na ndiyo soka