Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Karibu Arsenal uku unaruhusiwa kucheza mpira sasa ile mentality ya kupaki treni usije nayo.

As Man Utd fan...as much as I hate to admit it ila naamini Mikh atafit perfectly kwenye aina ya mchezo wa Arsenal...na atashine upya...wasiwasi wangu tu ni kwamba huyu jamaa ni mvivu wa mazoezi na Wenger hana kasumba ya kuwa mkali kwa wachezaji...akiachwa akaendeleza tabia hii he mighty be an average player ila nampa 8/10 anataiboost massively Arsenal...hongereni sana watani
 
Kama n mvivu ajiandae AW n mkali balaa asishangae akaanza katwa mshahara asipotia bidii kwenye mazoez.
 

The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch


Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
Mkuu hebu tuwekeeni kabati letu la vyombo tuvione jamani
 
Zoezi la usajili kwa wachezaji Alexis Sanchez kwenda Manchester United na Henrikh Mkhitaryan kwenda Arsenal limekamilika, baada ya United kumtangaza rasmi Sanchez kuwa mchezaji wao na kwamba atakuwa akilipwa kitita cha paun 600,000.
Sanchez akitangazwa kuwa mchezaji mpya wa United, nyota huyo amesema anafuraha kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Chile kuichezea klabu kubwa duniani.
Sanchez atakuwa anapokea mshahara wa Paun 350,000 kila wiki huku akipewa kiasi cha pauni 100,000 kupitia matangazo na pia atapewa nyongeza nyingine ya paun 140,000 kwa wiki.

Wakati Sanchez akitangazwa na Manchester United, naye mchezaji Henrikh Mkhitaryan ametangazwa na Arsenal kama mchezaji wao mpya, Mkhitaryan amesema kwenda Arsenal ndiyo zilikuwa ndoto zake tangu akiwa mtoto na alitamani siku moja kuitumikia Arsenal kupitia mkataba wa mabadilishano. Wakati huo huo Arsenal imepiga hatua katika kumwania mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang kutoka Borussia Dortmund.
 
Manguli wa wa habari vipi mko wapi?! Pierre-Emerick Aubameyang kaingia Emirates????!!!!

Hili libabu bado linaleta ubishi kama vile hela yatoka mfukoni mwake!! *****, Arsenal washatangazwa pochi wanalo, Dortmund ving'ang'anizi, wanataka kutukamuwa vilivyo, babu akate pochi tu...
 

Hii deal inaweza kufa kirahisi sana maana nimemsikia AW anasema hana uhakika kama watafanikiwa ila wanafanya jitihada wafanikiwe mpaka hapo nikaona inaweza kua kama zile deal nyingine ambazo tunaenda mazima tunarudi mikono mitupu.
 
Hii deal inaweza kufa kirahisi sana maana nimemsikia AW anasema hana uhakika kama watafanikiwa ila wanafanya jitihada wafanikiwe mpaka hapo nikaona inaweza kua kama zile deal nyingine ambazo tunaenda mazima tunarudi mikono mitupu.
Huyu babu maudhi sana..sijuwi lini walahi ataondoka pale..
 
  • The club has won 13 League titles
  • A record 13 FA Cups
  • Two League Cups
  • The League Centenary Trophy
  • 15 FA Community Shields
  • UEFA Cup Winners' Cup
  • Inter-Cities Fairs Cup.
Pandisha juu hapo
Sikuona kitu thusy nikauliza
 
MKITAKA WEBSITE YA KUBET INAYO TOA MIKEKA NA NI WEBSITE YA NJE NINA MAANA YA WALE WAZUNGU NGULI WA KUCHAMBUA NA KU RISK MIKEKA NA INATOA ASILIMI 98% NI WEWE MWENYEWE UKITAKA ODD ZOZOTE NI UN CHANGUA TU BONYEZA HAPA>>>>>> WINTIPS100.COM
 
MKITAKA WEBSITE YA KUBET INAYO TOA MIKEKA NA NI WEBSITE YA NJE NINA MAANA YA WALE WAZUNGU NGULI WA KUCHAMBUA NA KU RISK MIKEKA NA INATOA ASILIMI 98% NI WEWE MWENYEWE UKITAKA ODD ZOZOTE NI UN CHANGUA TU BONYEZA HAPA>>>>>> WINTIPS100.COM
πŸ™πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜ŽπŸ˜±πŸ˜³πŸ˜΅
Acha ujinga wa kuchafua threads wewe, kama unataka promo tumia njia nzuri kama wafanyazo wenzio, ndorobo kabisa..Utoto kabisa huu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…