Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Mashabiki wa gunners wengine cjui mpojeNi ngumu kuhama kushabikia timu...Lakini tunavumilia mateso haya ya poor performance ya Arsenal kwa sababu wenye timu wanadhani Wenger ni Alfa and Omega...Disgusting indeed
Mbaraka mwinshehe mwaruka alie zaliwa June 1ol944 na kufariki January 12 mwaka wa 1979 kinanikumbusha mbali sana kibao hiki.leicester city yupo on fire huko nyie wazee wa mtaa wa 7
Sawa kama unawaza kutakuwa na top fourWw ndio mpumbav
Droo tu hizi umeshaanza kuwaza unuksi
Gepu lenyewe la pointi dogo
Ondoa stress,piga supu jioni,oga,kula,sali,lala
Tutarudi katika ubora wetu
Umesahau gunners na miezi hii ya mwishomwisho
Mambo hayatunyookeagi sana.
Fomu yetu itaanza kurudi
Naona naongea na man u au liva fanSawa kama unawaza kutakuwa na top four
Sahau kabisa hilo,tusipokuwa wanane msimu huu sijui,ila utanikumbusha tutamaliza namba nane
Numbisa please let him go. Arsenal as a Team needs complete Overhaul or re-engineering from the Manager to some players including OzilBosi wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa Manchester United hawajawasiliana na Gunners kuhusu uhamisho wa Mesut Ozil.
Kiungo huyo akiwa amebakiwana miezi sita tu kwenye mkataba wake, klabu kadhaa ikiwa ni pamoja na United zimehusishwa na tetesi za kutaka kumsajili Mjerumani huyo.
Hata hivyo, akidai kuwa hana uhakika kuhusu maendeleo ya mazungumzo na Ozil, Wenger amesisitiza kuwa kiungo huyo hataondoka London Kaskazini kabla ya mwisho wa msimu.
Mfaransa huyo aliwaambia waandishi: "Karibu kiasi gani? Sijui ni karibu kiasi gani. Man United hawajawahi kutupigia, kwa hiyo sijui jambo hilo limekujaje.
"Hilo ni jambo ambalo limezushwa. [Atabaki] hadi mwisho wa msimu, mengine yapo wazi."
Pamoja na kuwa Ozil amefunga magoli mawili na sare tano katika mechi 14 Ligi Kuu Uingereza msimu huu, hajafanikiwa kufunga katika mechi tatu za mwisho.
Numbisa please let him go. Arsenal as a Team needs complete Overhaul or re-engineering from the Manager to some players including Ozil
Mkifungwa tutasikia Wenger Outall the best gunners! its a W day!
Still 1.0 ila kuna ungese mwing humu ndani lacazet leo anazinguaWadau mbona kimya
Update please
Still 1.0 ila kuna ungese mwing humu ndani lacazet leo anazingua
Naona mpira umegeuka tunashambuliwa sisi, hii mechi sio ya kutoa draw kbsa we have missed lot of chances.Daa Hii timu yetu jamani huwa haitupi raha kamili
Maumivu tuu aisee.
Asernal ya viera ndo ilitupa raha.