Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I am so interested to know which of those glories you had that we dont have or nobody has.... dont tell you also refering to 2004 unbeaten seasons πŸ˜€ is that all you got?

Well four years kwa sasa sio miaka mingi, you know why? because its no longer a 3 team race to top 3, its a race for 6 teams now. na ndio mana kwenye hio miaka minne unayozungumzia, kombe limekuwa linazunguka miji tofauti.

Tuzungumzie 20 years of Arsenal? Haya tuzungumze miaka 20 kwa ujumla, sio kumi tuone what has changed.

Tangu ianze kuitwa English premier league, Arsenal ameshinda mara tatu tu na hakuna hata moja ambayo ilikuwa back to back. Sasa vipi? miaka 20+ hio.

So ikiwa winning is not important but entertaining is important, nafikiri yale mabango ya THANKS ARSEN WENGER FOR 20 YEARS BUT ITS TIME TO GO tusingeyaona, wala Usmanov asingetaka kununua shares ili apate kuwa na full control ya club...... au I am proud of Arsenal for playing such an entertaining heartbreaking football that has proven to be unfruitful
 
Hili jamaa halielewi lugha eti? Let me use Swahili
Kuhusu position niliyomaliza last season nilimaliza juu ya mashushushu mekundu
Hivi ww jamaa zako zinachaji kweli
Umekataa kuhusu kufananisha players na timu ngoja nikuulize swali dogo
Klabu bingwa ulaya sahivi ni ipi?
Jibu ni jepesi sana Real Madrid
Kwa nn? Kwa sababu walichukua ubingwa last season
Mwangalie sahivi Madrid n wangapi la liga mwangalie ucl anasuuzwa nyingi na spurs
Bado tu Tutaendelea kusema Madrid are champions hata wakiwa wamwisho coz walibeba last season
Sasa cjui mancity bingwa kisa hajafungwa nani kasema hivyo? Wewe jamaa bangi zimeshakusuuza sio bure
Man city kafanya nn last season
Anafanya vzr ila bado hajaprove mpaka awe bingwa this season ndo tutamuita champion next season
Mijamaa mingine cjui imekunywa wapi kwanza improve your language skills English sio chai
Kenge ww!!!!!!????!!!!!!
 
Labda wewe ndio hujui lugha, wewe unasema eti prfomance ya mwaka jana ya Man utd ndio kigezo cha kuangalia mwaka huu. Lakini huja explain kivipi? wakati mwaka jana perfomance ni tofauti na mwaka huu.

Kwa akili zako chache ukafananisha FIFA best player kuwa, ame perform mwaka jana vizuri ndio akapewa kiatu, hujaona tu kama umeboronga hapa? perfomance yake ya mwaka jana ndio imempa kiatu, MWAKA JANA narudi kwa herufi kubwa. Katika ligi, perfomance yako ya mwaka jana haikupi ubingwa wa mwaka huu. ingekuwa ivo basi bingwa atapewa Chelsea mana alikuwa na perfomance nzuri mwaka jana.

Eti umemaliza juu ya mashushu mekundu ndio cha kujisifia, ama kweli nazi ni nazi. Faida gani umepata sasa kumaliza hio nafasi juu? both teams zimetoka out of top 4 halafu wajisifia kunizidi kwa one position? msimu ambao Mann utd imepata mafanikio mengi kuliko Arsenal. Unaringia nini hasa over man utd? we are in worse shape and still we hit you with 3 goals at Emirates.

I will improve my english if you show me my mistakes, please fell free to do so.....i am waiting

Umechezea miba mitatu kwa mashushu mekundu, u have got no era ya kuringia, una ukame wa EPL title for 13 years.... Just shut up... kwa sababu wakunitambia saiv ni Chelsea na Man city, these teams are fighting for dominance, na mpaka sasa bado hazijafanikiwa kwa asilimia 100....Arsenal imekuwa sio threat kabisa tena kwa Man utd. Ni just ordinary team kama leeds tu...

Nambie this season you are fighting for which place? 5th again?

By the way nasubiri na wewe uchukue hio Europa upate kurudi Champions League utolewe kwenye last 16 round as usual.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ tumeambulia droo, we umeambulia nini na invincible yako hapo trafford? hamkufungwa msimu mzima but almost half of it mlidroo....Unatwambia nini? the next season mkawa chapwa.....

Nasubiri unambie ulichoshinda ambacho hatuji kushinda ng'o

Mi mtoto wa juzi lakini nnachojua mie tangu ligi ya uingereza ianze, arsenal wamechukua back to back title mara 1 tu, tena it was damn long time ago.... it never happened again... I stand to be corrected from you old man....

Kuna kombe nakubali kuwa Man utd hatoweza kuchukua, lile emirates cup mliloanzisha ili kabati la makombe lisikae tupu πŸ˜€ ama lile kwa timu mnazochagua kushirikisha kweli hatuwezi kushinda.....

Unayo medali ya world club cup?
 
Mabishano yenu yako kimipasho zaidi kuliko uhalisia wa mambo....mbaya zaidi matusi yamekuwa sehemu ya mjadala hivyo kuharibu baadhi ya facts zenu...
 
Mi nafikir nabishana na mkubwa mwenzangu kumbe mnuka maziwa
Ngoja nikusahihishe ww kichwa kigumu
FIFA best player hapewi kiatu
anayepewa kiatu ni best scorer tena hii ni ya UEFA si ya FIFA
FIFA best player ni Ronaldo na Aliyechukua kiatu yaani UEFA best scorer ni messi
Shame on you

Nilikwambia katafute data kwanza kabla hujaingia humu
Diluted brain capacity
 
Hii comment yako tayari ilishakuondoa kwenye mizani ya kujadiliana na mimi, kivipi niendelee kubishana na kitoto cha juzi ambacho hakijui chochote kuhusiana na invincible side iliyoweka record isiyovunjwa kwenye historia ya EPL?


Unasemaje? Arsenal hajawahi kuchukua EPL back to back!!? Kumbe misimu ya 2002/2003 na 2003/2004 ule ubingwa ulichukua wewe eti ehee? Nini maana ya back to back kwako!!?

Kijana nakuomba umalize kwanza kidato cha NNE ndio uje kujadiliana mpira na mimi, nabishana na ndebile tu hapa.

Halafu pia naomba hii ndio iwe mara ya mwisho kuninukuu. Ni kupoteza nguvu na muda tu kuendelea kubishana na wewe.
 
Halafu nakulekebisha tena mpira hatuhesabu mwaka bali tunahesabu seasons
Halafu mbona unarudi kwenye best player si umesema nikutolee mfano wa timu nikakutolea
Hili jamaa mbona linajizunguka
maneno yameisha nn
Eti man city na Chelsea wana ubabe gn England hao?
Waliopanda daraja majuzi au kisa
Walikugegeda
Naona ulishajiandaa kwa kisago j2
Wenzako wa liverpool washasepa humu we bado unajitia king'ang'anizi sana
Mtu mwenyewe discharged unatutajia vitu vya ajabu ajabu hapa
Ww hujishutukii 2 au
Funga kopo lala
 
Kwani mnabishana nini?

Kwani ass no haikupigwa tatu?
 
Hili lijamaa linaforce wakati halina data
Mkuu lipige chini
 
Kama hujui kitu ni bora ukae kimya, timu iliyomaliza na point 89 ime draw half ya game zake???
 
Yani Someone from Nowhere ambaye Ni Mgeni lakini Anajifanya Analijua hili Jukwaa Kuliko Watu Wote Wakati Kitambo Humu Tunajadiliana na Wahusika without Kejeli za Aina yoyote...
 
Tetesi
Arsenal na Tottenham wana nia wa kumsaini Dani Ceballos. Mchezaji huyo wa kiungo cha kati mwenye umri wa miaka 21 hana furaha huko Real Madrid. (Calciomercato)
 
Tetesi
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Schalke na Germany Leon Goretzka, 22, ataiambia Manchester United, Arsenal na Barcelona mipango yake ya siku za usoni mwishoni mwa Januari licha ya klabua hizo zote kummezea mate
 
Tetesi
Arsenal wako makini kumsaini mchezaji wa kiungo cha kati wa Sevilla Steven N'Zonzi, 28 baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Blackburn na Stoke kukosana na meneja wake Eduardo Berizzo. (AS, via Sun)
 
Labda ungeweza kunielewa, lau kama ningesema amepewa kiatu cha mfungaji apo kweli ningekubali nimebugi. Kwani Fifa best player sio sawa na kusema kachukuwa kombe la best player?
 
Ratiba ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Fa, imetangazwa usiku huu na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018

Majogoo Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton,huku bingwa mtetezi Arsenal akianzia ugenini kwa kucheza na Nottingham Forest.

Matajiri wa Manchester City wataanzia nyumbani katika dimba la Etihad,kwa kucheza na Burnley nao Manchester United wakiwalika Derby County.

Vijana wa Antonio Conte, Chelsea wataanzia ugenini kwa kucheza na Norwich, Tottenham Hotspur watakua wenyeji wa AFC Wimbledon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…