Mkuu ulishawahi kuchukua champions league?Siongei na mashabiki wa timu masikini.Timu isiyokuwa na mwelekeo kuanzia kwa mabosi hadi mashabiki waliopinda
Timu hata kombe haibebi vikijitahidi sana vinafika fainali vinakung'utwa
Tokea lini cjui hata carabao havina
Vinakalishwaga mpaka uropa
Havina hela ya kusajili wachezaji wa maana ndo maana vinasajili wachezaji wa kiafrika sana na vinategeshea wachezaji wa bure
Rekodi ya usajili mkubwa paundi 35m hivi na nyie mnategemea hata kombe la kuku
Pelekeni mkungu wa ndizi!!!!!??!!!!!!
Eti title!!!! Title unaijua wwKwani nkuulize, alichokifanya De gea ni wajibu wake au sio wajibu wake? Ukijibu hili ndio utajua kuwa kila mchezaji ana wajibu wake, anapo perform vizuri unamsifia ili apate motivation, lakini ni wajibu wake kulinda goli in any way.
Sasa Man U akiondoka De gea unasema itakuwa jamvi la wageni, haya Arsenal jamvi la kina nani? Huwe ku compare a team that is fighting to win the tittle to a team that is fighting just to get a 4th place for uefa qualifiers.
Deluded Arsenal fanEti title!!!! Title unaijua ww
Ucheze vile jana utake title
Huna hata aibu a team that needs a tittle possesses 28% in the whole match 90'
4 shots on target the whole game with its black striker calling himself the most expensive striker in the epl.He is the last among the top six strikers.
A team with a midfielder that plays wrestling in the pitch instead of football
Are you capable of competing with teams like mancity with that worst style of playing
Guardiola can't compete with fools!!!!??!!!!!
Hivi we jamaa umeokotwa ukaletwa kwenye hii thread eti?Mimi nilifikiri Naongea Na Mshabiki Wa Mpira! Kumbe NamQuote Mshabiki Maandazi Zero brain...!!!!!
Eti timu Maskini!!! Hebu Nitajie Timu 10 tajiri Zaidi Duniani halafu uniambie Liverpool ni Yangapi....!!!
Halafu Taja Vikosi Vitano 5 bora Vyenye thamani EPL uone Kama Arsenal Utanifika Hata Nusu ya Thamani Ya Wachezaji Wa Liverpool...
Arsenal Nzima Hamuna Mchezaji Unayeweza Muuza Β£60m wakati Ndani Ya Liverpool hata Yule average Firmino huwezi uziwa.
Na Ukija Kwenye Mishahara Ndiyo Kabisa Liverpool Hamtuingii Kwa Mishahara Yenu Ya Hela ya Karanga.
Kabla Ya Kuongea Kwanza iangalie Timu Yako Kwanini inakimbiwa na Wachezaji???
OK! sisi hatuna Makombe! Je Arsenal Ndani Ya Miaka 10 Kabeba Makombe Mangapi?
Deluded!!!! Your not seriousDeluded Arsenal fan
Champions league!!!!??!!!!! Sikia mwingine huyuMkuu ulishawahi kuchukua champions league?
Ndio maana nilikupiga nne, kumbe akili zenyewe ndio hiziChampions league!!!!??!!!!! Sikia mwingine huyu
Nottingham forest ana uefa mbili sahivi yuko championship kwa wachovu
Ac Milan ana champions league saba!!!??!!!! Mlitesa sana miaka ile ww na yy ila sahivi wote hoi bin taaban!!!!!!!
Kwanza ww champions league ilikusaidia nn bora yangu mm nilifika fainali nikatengeneza ka pitch kangu ka Emirates cio ww uliye na uefa tano halafu unachezea kwenye kichuguu
Ac Milan anaanza kuonesha mwanga coz anaanza kununua wachezaji wa maana ana wamiliki wasia sahivi
Ww endelea kudidimia halafu unajiongelesha uefa uefa hayo ma historia tu
Mtabaki hivyohivyo pumbav zenu!!!!????!!!!!!!
Ndio maana nilikupiga nne, kumbe akili zenyewe ndio hizi
Ulinipiga nne ww wanaokuguguma nne na spurs na tano na man cityNdio maana nilikupiga nne, kumbe akili zenyewe ndio hizi
Matusi ya nguoni!!!!!!!!!!!!Mashabiki wa mpira tuna shida for sure....tunatukanana mpaka matusi ya nguoni....usikute muda huu Pogba, Coutinho na Sanchez wanapata mvinyo pamoja kwa raha zao ....huku watu presha juu....
Pumbavu brainless mwenyeweMkuu Mimi nilipomuona tu Kuwa Yeye ni Brainless Fanboy nimeamua Kumpotezea...
Mimi nawaambiaga hawa wavamizi wa thread za watuRoberto 20 Ingawa ni mwana Arsenal mwenzangu- tunaweza tofautiana labda wewe ni zaidi ya Mpenzi wa the Gunners lakini una lugha ya kuudhi ambayo haileti afya kwenye mjadala wa kimchezo....Hongera kuwa mpenzi wa Arsenal though....
Mnakuwa mnanichekesha sana, tuna kipa mwengine anaitwa Sergio, na huyo naye vipi? Wakati unazungumzia mchango wa goal keeper, usisahau na ule wa washambualiaji. Kumbuka kuwa goalkeepr section yake ni defence, sikatai kama amefanya kazi nzuri, bali nasema ule ni wajibu wake, ni vizuri kumpa hongera kwa kutimiza wajibu wake.
Unatoa mfano wa degea wa 2012-2014 kwani kwenye miaka hio ulioitaja mlitufunga mechi ngapi?
Unasemaje Barcelona timu ilibalance wakati umeshatwambia valdes alikuwa mbovu π π π kubalance kwa timu ikiwa kila mtu anatekeleza majukumu yake. Just for your information, Tangu Peter, Barthez, Van, makipa wetu wanakuwa wazuri wa kutekeleza majukumu yao. Unlike Arsenal, ambao sio kipa tu, the whole team doesnt know what they want.... Sawa Lukaku hana anchokifanya zaidi ya kuruka ruka mpaka sasa ana goli 8 na assit 4, sasa lacazzeti ambae anacheza mpira ana goli 8 na assist 1.... sasa kwanini usiseme wanaruka ruka wote....Sanchez mchezaji ana mangapi?
Wenger na wachezaji wake wamekwisha.... vipi unacheza eti kwa kupoint nafasi ya nne?
Whats your club future? π
Najua una mahaba sana na Paul Pogba na ilikuwa si rahisi kuiacha comment yangu ipite bila kutia neno... Anyway labda kauli yangu imekaa kishabiki sana, ngoja niseme pogba nguvu nyingi akili kidogo na ndio aina ya uchezaji wake alionao, mara kadhaa umekuwa ukisaidia ikiwa ni pamoja na mechi ya juzi.. Lakini pia tumeona mara nyingi mipira mingi inapotea ikifika kwake kumbuka yeye ndio morinho anamtegemea kusogeza mipira ifike kwenye box, angalia hata juzi ile red card alivyoipata ilikuwa ni baada ya kuchelewa kuchukua mpira akalazimika kucheza faulo ya kipuuzi kumzuia adui. Huyo huyo pogba mfuatilie kwenye game za Liverpool kama huwa anafanya la maana sana zaidi ya kula njano tu.Lizarazu ukisema Pogba akili kisoda nguvu nyingi akili kisoda unanifanya nijiulize uwezo wako kwenye mpira uko kiwango gani.
Kwa mechi ya jana tu magoli mawili yeye ndio katoa ASSISTS unaweza kuangalia tena au muulize Kolschieny alichofanywa.
Man Utd bila Pogba sio sawa na Man United ikiwa na Pogba uwanjani. Mtu yeyote anaejua mpira hawezi kukosa kuona uwezo mkubwa wa Pogba labda kama una chuki binafsi.
Poleni nasikia mlikuwa hamjafungwa mechi 12 za EPL hapo Emirates anzeni tena nafasi ya nne bado ipo wazi ila ubingwa sahauni na hatujafika hata Januari.
Kwa sababu unatoa mifano isiokuwa fair. Ukimfananisha de gea wa 2012, basi tuchukue na arsenal ya 2012 na Man utd ya 2012. Kwa mfano wako unaweza kusema "ingekuwa golini hakai goalkeeper basi tungewafunga mengi". The same arsenal ambayo imepiga 14 shots, kona 15, possession 100% was not able to win the match against an Imbalance team, au sio?Nimesema degea wa 2012-2014 huku nikumuhusisha na mechi ya jana kwa maana kwamba degea wa miaka hiyo alikuwa ni goli kipa mbovu kabisa kiasi kwamba kwa hali ilivyokuwa juzi dhidi ya arsenal kama angekuwa bado yuko kwenye kiwango kibovu kiasi kile basi mngeoga mvua ya magoli na wala sijasema vile kwa kujinasibu kwamba tuliwafunga, sijui umeshindwa kunielewa nini hapa.