McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Domo kaya katupatia kweli kweli na makonde 2 ya fasta!
nyambafu kabisa...
Tulia tuongeze mengine mkuuHapa inatakiwa tutulie tucheze mpira
Mbona magori yanarudi na tunawaongeza
Una maana gani?Tulia tuongeze mengine mkuu
Tulia tuongeze mengine mkuu
Mkuu mbona unaingilia nyumaMou mtaalam wa kupaki basi, leo kapaki MABASI..Valencia..Pogba...Matic...Young...Smalling..Lindelof. Msitegemee kitu leo. Ha ha haaaaaaa
Hapa tukikomaa tutapata magoliHT
Arsenal 0-2 Utd
Great perfomance,simply leo neno bahati halipo kwetu ila nimeridhika na the way tumecheza 1st half.
Yaani ss wana gunners tushazoea kuridhika[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Man united wamshukuru De Gea,ila kwa perfomance hii hata tukipigwa sina neno,
Hebu tupeane matumain basi mnaona sub gan inafaa second half?