We jamaa mbona unaingia kinyumanyumaHatuna ujanja dhidi ya Mu. Tutapigwa tu.
We jamaa mbona unaingia kinyumanyumaHatuna ujanja dhidi ya Mu. Tutapigwa tu.
Huo ndio ukweli.We jamaa mbona unaingia kinyumanyuma
Ukweli utajulikana baada ya mechiHuo ndio ukweli.
Tumerudisha our "Mojo", je tutaendelea na ushindi?! Yawezekana, tatizo babu haeleweki, waweza sikia kavuruga na kupanga wachezaji ndivyo sivyo kabisa..Maudhi...
Anyway nafikiri ashaelewa kuanzia sasa ni moto chini, hakuna cha lelema wala nini, goli 2 bila zawezekana pamoja na kutegemea domo kaya kuja kupaki basi Emirates..Tuko pamoja
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]..
Yetu macho..Tatizo la AW game kama ya leo ni upangaji wa team anawahi kujihami,ile game ya Spurs baada ya kuona kikosi tu nilisema hapa hatuna sababu ya kufungwa maana kila idara ilikua sawa na nikasisitiza tukipoteza game na Spurs AW hausiki na matokeo lawama kwa wachezaji ngoja tuone leo atatoka vipi.
Wenger alisema lacazzette hatakuepo game ya leo nashangaa kwenye lineup yupo...mzee muhuni sana uyu..