Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Dadeki!! Kama kawa Kroenke Ban Yake inaendelea Kwa Usmanov Kutokushiriki Katika Vikao Vya Bodi...
 
Timu mbovu sana yaani possession tunawakimbiza hivi alafu wao wanapata chance moja tu wanatumaliza dah inaudhi sana
 
Uchoyo wa huyu Jordan umesababisha Swansea tuende mapumziko na goli moja tu
 
Sub
Lacazette—Giroud
Kuna time mzee AW anasababisha tukose matokeo mazuri.
 
Ni Wazi Kwamba Wale Washika Mabango Ya [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] Bado Wanaendelea Na Mgomo Wa Kutokurudi Kwenye Uzi Wao na Kumuachia McDonaldJr Peke yake Au-update uzi hii...

Lakini Kadri Timu inavuofanya Vizuri Ninawaona Wanaanza Kuchungulia Mmoja mmoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…