Moderators tafadharini futeni huu uzi wa arsenal kwa ajili ya afya ya baadhi ya mbers wenu ambao ni arsenal fans, nikiwamo na mimi! Sioni faida, ni stress tupu!
Moderators tafadharini futeni huu uzi wa arsenal kwa ajili ya afya ya baadhi ya mbers wenu ambao ni arsenal fans, nikiwamo na mimi! Sioni faida, ni stress tupu!
Sio kwa kocha huyu, wenzetu wanavilia miaka 2,3,4 ila wakati huo huo uongozi unafanya kitu! Hapa unavumilia nini wakati wenger ndo kocha wa maisha??
Hili jibaba kwa kweli linaniboa sana!
Sema Mkuu? Mie sasa hivi nimesimamisha upenzi wa timu hii hadi Babu ajiuzulu au afukuzwe. Nimechashoshwa na vipigo ya kipuuzi kila msimu. TImu walizocheza nazo Liverpool katika mechi mbili za kwanza walingangamara na hivyo kutofungwa nne kwa nunge lakini Arsenal ni kichochoro kikubwa.