barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Wenger out!!Wenger in
Cha ajabu siku hizi nimezoea, hainiumi tukifungwa sababu nimekuwa Wenger's hater!
Wenger out!!Wenger in
Mimi nakubishia. Liver lazima ashinde.Hii mechi itaisha 2-2 au 3-3
Sijui board inataka wenger afanyaje ili aonekane hafai? Labda ishuke daraja sasa! Nilitegemea kukosa UCL ila wapi!Hakuna watu wenye mioyo ya chuma kama nyie watu humu ndani..
Teh.. Huna adabu wewe. Yan wenzako wanapambana we unatest.

Itakuwa pouwa sana mkuu
Kama weww ni shabiki wa arsenal wala usijisumbue mkuu..Wale wa mobdro nipeni channel
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA


Sport klub1Wale wa mobdro nipeni channel
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Daah.. Labda mpaka Dangote aichukue ndio inaweza kuwa tofauti. Otherwise sioni mabadiliko yoyoteSijui board inataka wenger afanyaje ili aonekane hafai? Labda ishuke daraja sasa! Nilitegemea kukosa UCL ila wapi!