Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkikutana na mashetani wa 4G sijui itakuwaje. Itarudia tena ile 8 nn????
 
Arsenal inatakuwa timu ya nne au ya tano mwisho wa ligi. Lakini haiwezi kushinda ligi. Manchester City, Manchester United and Tottenham are better team than Arsenal. Haya ni maoni yangu. Sababu: Their defence is not as good as other top teams.
Mkuu unamdharau Chelsea? Ule moto ni mkali sana. Nadhani uliona hata baada ya zile kadi mbili nyekundu goli zikaanza kurudi. Watu wako 9 uwanjani na wanapiga mpira mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…