OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Msipaniki wakuu ...ni masuala ya kawaida tu.Mkuu, hii thread sio ya mizaha ya kitoto. Sisi wanazi wa AFC tunaiheshimu, acha kuleta utoto, chambua soka tutakuelewa.
Hapo ndipo napata maswali mengi,wewe ni shabiki wa football kweli au ndio wale wa netball ila unaibukia uku kujifunza kitu?
Kwa hili nimemkubali sana AW.Sanchez atulie acheze mpira mwakani asepe.Anajiona mkubwa kuliko clubAW amesema hakuna kinachoendelea kuhusu contract extension ya Alexis ivyo inaonyesha iko wazi ataondoka bure baada ya msimu huu.
Ila kwa CB nafkiri tunao wa kutosha kwa sasa..Holding,Per,Kosc,Mustafi Huyo Gabriel nafasi ilikua finyu kwake.
Paulista to Valencia kwa ada ya £10 M naona AW anajaribu ku-off load ila hatujui kama ataleta mtu mwingine.
Nasubiri kipindi cha usajili kipite niweze kuamini hii kituAW amesema hakuna kinachoendelea kuhusu contract extension ya Alexis ivyo inaonyesha iko wazi ataondoka bure baada ya msimu huu.
Alete wapi mkuu, Arsenal wameingiza zaidi ya £400m Last Season! Cha kushangaza hata Everton FC wemenunua wachezaji zaidi kuliko sisi na huku kipato chao kiko chini around £100+?!Paulista to Valencia kwa ada ya £10 M naona AW anajaribu ku-off load ila hatujui kama ataleta mtu mwingine.
Naona kashawamalizaArsenal tupo hapa tunasubiri mechi na wahasimu wetu wengine potters yaani Stoke City jumamosi ijayo.
Stoke wamemsajili mshambuliaji Jese Rodriguez ambae miaka miwili ilopita alipigwa kiatu cha uhakika na Saed Kolasinac beki wetu wa kushoto ambae tumemsajili bila ada yoyote.
Jese Rodriguez akiugulia mwaka 2014 baada ya kupata kiatu cha uhakika kutoka kwa Saed Kolasinac.
Rodriguez alikuwa akichezea Real Madrid na walikuwa wakicheza mechi ya CL na Schalke ambayo Kolasinac alikuwa beki wao.
Arsenal wanatarajiwa kutia timu mjini Stoke siku ya Alhamisi kwa ndege ya kukodi.
Beki wetu mpya mshahara Saed Kolasinac akimdhibiti Riyad Mahrez Arsenal walipocheza na Leicester City Ijumaa ilopita uwanjani Emirates.