Braza mbavu nmemuelew saana... ila wenger atuongezee midfilder m1 ya ngu saana, ikiwezekana na beki ya kati 1, amuongeze mkataba ox, ana deserve anaonesha kukua.
Uyu Granit Xhaka aongezewe mkataba wenye sarafu za kutosha mapema sana kuna dalili wale beba beba wakaibuka jamaa anaupiga mwingi recently naona kazoea ligi mpaka sasa Lacanyavu kaonyesha ana kitu ata-offer yuko sharp nasubiri kumuona wakitengeneza combo na Ozil + Sanchez.