Alhamdulillah, sio mbaya as na sisi tumetoka na kikombe na kubwa zaidi kumfunga bingwa wa EPL fainali.
COYG
Nimekwambia leo ufunge mdomo hunisikiiiii!!! Nitalirudisha ohhhjjj!!!!AW amebeba hii ndoo kuliko kiumbe yoyote yule teheeee teheeeeee,thanks Arsenal haters wamebaki na comments zao.
Ila mashabiki waliopitia ugumu wa ushabiki ni wa arsenal na liver!Inahitaji moyo mgumu kuipenda Arsenal lol!
Mkuu, eti season ijayo mnaenda CL? [emoji12] [emoji12]Hongereni sana......Leo mmenifurahisha....Chelsea walitegemea watokee tu uwanjani washinde....Hawakujua hii ni fainali chochote kinaweza kutokea.....Arsenal wamepigana 200%....Leo hadi Ozil anakaba!
Ukitaka kuchukua ubingwa mechi zote inabidi mcheze hivi,kama fainali...
RED ndo mpango mzimaaaaa!! GG...ojsshhh!! .....KOYIGII!!!!
Ohhhj!!! Na wewe umeanza!! Unajua ukisema more than any other team unaniumiza sana!!!!!Kapata kiki ya kung'ang'ania kurudi msimu ujao kwa kuwafunga mabingwa wa EPL. Mabingwa wa kombe mbuzi la FA kwa mara ya 7 more than any other team in UK.
Ohhhj!!! Na wewe umeanza!! Unajua ukisema more than any other team unaniumiza sana!!!!!
Jirani yaani leo nimeitekeleza amri ya Yesu 100% mpende jirani yako kama nafsi yako yaani nimekupendaaaaaaaaa!!! Nimekushabikia kwa nguvu zote!!Jirani leo umeibuka huku..?ulikua unasubiri msiba nini maana sio kawaida yako [emoji23][emoji23]