Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pole sana aisee. Baba Jesca ni nomaaa anataka kuhakikisha ndoto yake ya Watanzania kuishi kama mashetani inatimia. 🙂🙂 dah! Jamaa wanasawazisha!

Hahahaha baba Jesca anabana sanaaaa,nawaombea dakika zikimbie tu
 
Pole sana aisee. Baba Jesca ni nomaaa anataka kuhakikisha ndoto yake ya Watanzania kuishi kama mashetani inatimia. 🙂🙂 dah! Jamaa wanasawazisha!
Yaani nilinyong'onyea balaaa!!! Safi Arsenane!! Ninavyowashabikia sasa ole wako baadaye ulete maneno hahahaha!!!
 
Reactions: BAK
Sawa sasa kuna kama dakika 15 za kulinda ushindi, ukiweka na zile za majeruhi.

Yaani nilinyong'onyea balaaa!!! Safi Arsenane!! Ninavyowashabikia sasa ole wako baadaye ulete maneno hahahaha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…