Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger: "We have a real check up today. We have some worries that Koscielny will not be available. He will have a test, Xhaka also."

Wenger says missing Champions League spot would not affect transfer plans "because we are in a strong financial situation."

He's staying....
 
Best news ever
 
HT
Soton 0-0 Arsenal
Kama kawaida tuko slow sana,we need to roll up our sleeves kama tunataka matokeo.
 
3-4-3 naona inamtoa Wenger kimaso maso. hope tutaqualify uefa. na kumchapa chelshit
 
Wapo tayari kwa Vita ya AM.

Arsenal wapo tayari kupigana vikumbo dhidi ya Chelsea na Manchester United kwa ajili ya saini ya straika wa Real Madrid, Alvaro Morata, kwa mujibu wa taarifa kutoka The Sun.

Morata ameripotiwa kutaka kuondoka Bernabeu kwa mara ya pili baada ya kushindwa kumng'oa kikosini Karim Benzema katika kikosi cha Zinedine Zidane kama chaguo la kwanza.

Chelsea wameripotiwa kuongoza mbio za kumnasa Morata,24 ambaye ana thamani ya pauni milioni 50 ,alirejea Real mwaka 2016 baada ya kucheza Juventus kwa misimu miwili ya mafanikio.

The Sun limedai kwamba Arsenal wapo tayari kufikia kiasi hiko cha fedha, kumpeleka Morata Emirates ili kuchukua nafasi ya Alexis Sanchez ambaye anaonekana kuondoka Arsenal.
 
Jamn naombeni kama kuna mwenye Group LA whatsap LA mashabiki Wa Arsenalaniunge pleas...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…