Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mesut Ozil amekuwa na mwendelezo mzuri wa kufunga katika mashindano yote tangu ajiunge na Arsenal akitokea Real Madrid katika
Msimu wa 2013/14 amefunga magoli 7
Msimu wa 2014/15 amefunga magoli 5
Msimu wa 2015/16 amefunga magoli 8
Msimu wa 2016/17 amefunga magoli 11 mpaka sasa huku kukiwa na Baadhi ya michezo katika EPL na FA
538267b8965016fb447f15fb8fe71cd3.jpg
 
@OfficialAllegri 4 Arsenal NOW @arsenaltv @arsenaltvtv @ArsenalFanTV @arsenalfans thats how to play @FCBarcelona, for any price [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG]
 
Alex Sanchez amefunga magoli matano katika michezo minne aliocheza katika uwanja wa Wembley (magoli matatu ameifungia Arsenal na magoli mawili ameifungia timu yake ya taifa Chile)
Je unadhani atatupia kwa mara nyingine tena dhidi ya man city?
cbaa40fb5d735f57fe38153a6a11a816.jpg
 
Takwimu za Arsene Wenger katika uwanja wa Wembley
Jumla ya michezo 17
michezo aliyoshinda 11
michezo aliyotoa sare 1
michezo aliyopoteza 5
 
Back
Top Bottom