Uzi wao urirara nao mbere (ulilala nao mbele )maana najua wenyewe walikuwa wanasoma na kupita kimya kimya wakiugulia maumivu.Teh! Teh! Teh!
Pole mkuu ingia bila kunyataSijui wenger nae tumsemee kwa anko gwajima, ili amuanzishie dude atuachie timu yetu. Yaani kanifanya nibasilishe njia, hata bandani naingia na kutoka kwa kunyata, wenger utatuua tuachie timu yetu
Hawa Everton mpaka msimu unaisha watakuja kuwaliza watu nawasiwasi nao sana hawa
Mbona tupoDuh jamaa wamemsusia Wenger jukwaa!!!