Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mancity wana uwezo kuwafunga Arsenal wakati wowote ule lakini wakiongoza wanapumzika hivi
 
Hii timu tia maji tia maji upuuz mtupu bek mbovu kipa pimbi tu yan full upumbav goli gani linafungwa lile [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Nionavyo arsenal inahitaji kuimarisha safu zote kwani wanapasiana bila malengo, wamekosa goli nyingi hasa Ozil, Welbeck na Walcott
 
Aidha wanasindikiza au wankimbilia golini kuzuia kiki kali kama ya Aguero wataweza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom