Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Shuti imetoka nje kidogo
Mechi bado sana hawa ManCity sasa hivi wamepoa sana sijui ni mkakati wa kulinda bao hawashambulii kama kabla ya kufungaTupigwe tu.