OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Yes but he must go
What a save...thanks Peter.
Enough is enough aibu tuliyopata ya kutolewa 10 - 2 inatosha mkuuNaamini anatakiwa abakie,Arsenal inamuhitaji AW kuliko yeye anavyoihitaji hii Arsenal,tusubiri muda utaongea maana ipo siku ataondoka.
Prof haendi kokote Kronke aliponunua Gunners share 1 ilikuwa iauzwa kwa takribani £8000.00 sasa hivi share 1 ni £15,000.00Naamini anatakiwa abakie,Arsenal inamuhitaji AW kuliko yeye anavyoihitaji hii Arsenal,tusubiri muda utaongea maana ipo siku ataondoka.
Mhhh aisee...bila Sanchez hii timu ni kimeoooo