Mashabiki wa Arsenal ni kama hawajui wanachokitaka...wenda wanataka ushindi, vikombe, Wenga atoke, kocha mmbadala au Wenga abaki au vyote kwa pamoja.
Yaani lazima huyu bwana mkubwa Wenga lazima atakua anatumia mzizi make haiwekani watu wanaokuimba kila siku utoke ukawasaulisha kwa mechi moja tena na timu ndogo kama ZENECO.