Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tushinde kwanza kwajili ya heshima badaye lawama Haijalishi kama Wenger ataondoka ama la lakini tusifungwe ili Wenger ang'oke
We are Arsenal
The Gunners
COYG
 
Labda huu wa leo utakuwa msumari wa mwisho kuhakikisha Babu harudi msimu ujao. Maana hii kero sasa imeshavuka mipaka.
Mnae huyo matajiri zenu hawana khabari na vikombe wenyewe vitabu vikisoma uzuri basi hawataki vikombe wala vijiko
 
wakuu mwenye link ya hii game asaidie nataka kuicheki hii game hata kupitia computer,nilipo ni mbali na sehemu ambayo naweza nikaona...
 
Jua tu tushapiga mtu kimoja, katupia Walcott dakika ya 20,
So tunatafuta goli 3 now
 
wakuu mwenye link ya hii game asaidie nataka kuicheki hii game hata kupitia computer,nilipo ni mbali na sehemu ambayo naweza nikaona...
Ingia kwenye google kwa kutumia kompyuta andika stream2watch then chagua moja wapo ila uwe na bando la kutosha
 
HT
Arsenal 1-0 B.Munich.
Perfomance yetu sio mbaya sana tumepoteza claer chances kadhaa pia.
 
wakuu mwenye link ya hii game asaidie nataka kuicheki hii game hata kupitia computer,nilipo ni mbali na sehemu ambayo naweza nikaona...

Mkuu labda tukuwekee link ya Kiuganga ambayo tunaitumia na sasa tayari imeshatupa matokeo kuwa Arsenal ni Baba Jeni bai bai.
 
Dhaaa yan tumeshakosa
Magoli 3 ya waz kabsaa

Na uwezekano wa
Kuwin n mdogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…