Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani poleni sana....
 
We kichwa sana hivi viparagraph vichache havikupi shida. Nakumbuka siku moja ulivyoshuka kwenye siasa na kunifanya nishangae na kuangalia ID kuhakikisha ndiye yule yule sister shabiki maarufu wa MANU. 🙂

nipe summary kiduchu.
 
Ningekuwa manager wa Arsenal ningefukuza wachezaji wote na kumbakisha Sanchez tu.

Arsenal ya wakati huo ilikuwa na world class wengi tu ila sasa hivi ni wachezaji size ya Bolton.
roy keane kasema kuna wachezaji wa maana wawili 2 wengine wote ni average players
 
Hahaha.. Wenger ametoa povu lake na kuwaambia mashabiki wanaompigia kelele.. "sio kwamba Arsenal walishalitwaa kombe la ulaya mara 5 kabla sijafika, hawajawahi kulitwaa kabisa"..
 
Fc Barcelona watahitaji kikosi hiki kushinda katika mchezo wa marudiano....

Spiderman, Merlin, Thor, Harry-Potter, Rambo, Bat-Man Superman, Jet-Li, Jackie Chan, Donnie Yen, Iron Man

Subs: Antman, Hulk, Doctor Strange, Green Lantern, na Captain America

Kwa Arsenal, hata kikosi cha shaolin soccer hakitasaidia chochote
.
 
We kichwa sana hivi viparagraph vichache havikupi shida. Nakumbuka siku moja ulivyoshuka kwenye siasa na kunifanya nishangae na kuangalia ID kuhakikisha ndiye yule yule sister shabiki maarufu wa MANU. 🙂
hahahahaa kuna siku nakuwa na upako ila siku nyingine nakuwa kilaza.
 
Gunners tunatisha angalia wakuda wanavyo tokwa mapovu khe khe khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee safi sana.
 
Hahaha.. Wenger ametoa povu lake na kuwaambia mashabiki wanaompigia kelele.. "sio kwamba Arsenal walishalitwaa kombe la ulaya mara 5 kabla sijafika, hawajawahi kulitwaa kabisa"..
kwahiyo wasimsumbue kabisa, loh Wenger jamani.
 
Ukitaka kufahamu jinsi tunavyotisha hata ukiandika post hapa haiwezi kuonekana kama mpya lakini za vitimu vidogo vidogo ambavyo vinacheza kila Ali Hamisi na vingine hata havijulikani vinacheza wapi zitaonekana mpya kwenye front page ya JF. Thats how strong we are. We will bounce back, mpira kuna mawili kushinda na kushindwa Munchen wameshinda kwao na sisi tunawachubiri kwetu. Ding ... ... Dong.

BTW hata wapiga kamali wana priority, hiyo ndio mentality ya JF leaders
 

 
Hahahahahahaha khekhekhekhekheeeeeeeee...

Umenikumbusha mdada mmoja alikuwa shabiki wa Arsenal. Shida yeye hata kwenye mahusiano yake alikuwa akiyaendesha ki-arsenal hivyohivyo.

Akipigwa anasamehe, akiletewa zawadi anaringishia mtaa mzima. Alikuwa mvumilivu huyoooo.


Ila hata yeye ilifika mahali akanyosha mikono juu akasanda. Sasa hivi ameolewa na ana ujauzito wa mapacha.

Umenikumbusha mbali sana brother!
 
Brother
 
khe k
 


Arsene Wenger, 67, is not ready to wave goodbye
and walk into the sunset at Arsenal just yet


Four more years for Le Prof .... .. .. Ding ....Dong
Wapinzani wanaweweseka .... .... ... ... ... ...................





The Frenchman says he will decide his future in 'March or April' but definitely won't retire



[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…