Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nami nilitaka nikuulize kama ulipoteza usingizi wako.

hapa kuna jamaaa namsubilia ofisini mana jana alikuwa na mbwembwe sana.
 
Reactions: BAK
Hahahahaha huyo ana lake jambo. Mbwembwe za Arsenal inapocheza na Bayern!?

nami nilitaka nikuulize kama ulipoteza usingizi wako.

hapa kuna jamaaa namsubilia ofisini mana jana alikuwa na mbwembwe sana.
 
Washabiki wa Arsenal mnafurahisha sana. Mkishinda mechi mbili tatu mnasahau mapungufu yote ya timu.

Mimi huwa nawaambia kila msimu subirini soon mtaanza [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] cries! Here we are. Poleni sana even though 5.1 is the best home theatre sound.
 
Mie nilijua mapema Mkuu, kuna mshikaji wangu Gunners mwenzangu akaniuliza vipi Mkuu una matumaini? Nikamwambia naziona goli 3 au hata nne. Akaniambia duh! zote hizo? Mimi naona draw. Nikamwambia tukitoa draw kwao ni achievement kubwa sana kwetu.

Kuna jamaa yangu mshabiki wa Arsenal jana nilimwambia afadhali alale tu maanake matokeo yatakuwa kama ya psg vs barcelona!
 
Nasikia Board inataka kumuongezea Wenger mkataba wa miaka 3.
Asern8 kuweni wapole tu
 
Pole mkuu wangu umeandika kwa uchungu, binafsi nafikiri tatizo lenu ni bench la ufundi, imefika muda wapishe akiri mpya na mbinu mpya
 
Wapo walio waghadhibisha kwa maneno yao ya shombo pia wapo walio wapeni ushauri murua ingawa kwa lugha kali mimi najikita kuwapeni pole ndugu zanguni.
 
Acha uku.da wewe, unaanzaje kufananisha Arsenal na wa kimataifa??? fananisha na mikia at least the got something in common


Jiulize, hiyo Yanga ya kimataifa imefanya nini toka wewe umezaliwa mpaka hapa ulipofika na akili zako hizi finyu? Nimeifananisha Arsenal na Yanga because Yanga ndivo ilivyo.....haitambi kimataifa na haijawahi kufika fainali hata siku moja, au ulikuwa hujuwi hili unashabikia tu? Timu gani kila mwaka inaridhika kupanda ndege tu ila haina lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…