Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kipenzi mbona ukapotea hivyo, ujue nikifungwa stress zangu unanisaidia kuzimaliza. Hawa chelshit noma sana!!
 
Kunawatu wanafunga magoli makali kama scorpion ya OG,mkitha au bicycles kick ya Carroll lakini Hazard anafunga goli la msimu sio kwa kuwatesa washika mishale
 
Kipenzi mbona ukapotea hivyo, ujue nikifungwa stress zangu unanisaidia kuzimaliza. Hawa chelshit noma sana!!
Nipo kipenzi,pole sana kipenzi na hili nalo litapita jipe moyo......hawa Chelshit wamekuwa Mr misifa
achana nao mwenyewe siwapendi kama nini,twende zetu kipenzi nikakupe mapenzi mubashara chaaaaaaa!!! Unajua nilichanganyikiwa ulivyosema umedead
 
Sasa Mimi niliwambia sio vizuri kuambatanisha misiba tatizo nyumba hii inawagonjwa wengi kweli ,hull city atakuja na sindano ya sumu kummalizia mwingine kateseka sana
 
Hili goli la hazard j3 nikienda darasani atakayeniambia lilifungwaje nampa maksi 30 hakuna Kusupp maadili nayaweka mfukoni kama kante anavyowafanyia wenzake kwani nini
 
Pole kwa kipigo
 

Hata wakati the special one akiwa chelsiki ulikuwa unamnaga sana siku hizi mnae.

Unanikumbusha demu anavyotongozwa na mwanaume fulani halafu anamnaga eti hafai kuwa mume wangu, siyo type yangu.

Baada ya miaka mitatu hivi unakutana nae wameshaoana na wana mtoto. Ukimwuliza vipi tena mbona ulisema siyo type yako anakujibu "hayakuhusuuuuuu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…