Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

12: 35 Chelsick 1 - 0 Gunners first blood from Chelsick .. .. .
 
17mins three corners in a row for Gunners nothing comes out of it ....
 
upload_2017-2-4_12-56-43.png


Hii ni elbow refa kamezea ... ...
 
Kwa mara ya kwanza nina huzuni na sina imani kabisa ya ushindi kwenye mechi ya leo.
Sijui...labda Mungu tu.
Hahahaaa....imba tendaaa muujizaaa...usiache bwana mechi hii ipite..tendaa muujiza
 
Kwa mara ya kwanza nina huzuni na sina imani kabisa ya ushindi kwenye mechi ya leo.
Sijui...labda Mungu tu.
mtaambulia sale ya moja kwa moja subiri yule Giroud aingie atawasawazishia kwa kichwa............chelsea mabeki siyo wazuri kwa vichwa
 
Giroud huyu ndiye sub ya kuikoa arseenal.............chelsea hawana mabeki wa kumzuia na sijui kwanini hakuanza naye wangelikuwa wakiongoza hii game mipira mitano ya cross hakuna wa kuunganisha
 
Chelsick 2 - 0 Gunners .... ... .that is bad defending from the Gunners.. .
 
Back
Top Bottom