Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Jirani pole sana! Lakini mbona husemi kama na wewe bado una game na Tottenham, Blackburn na Man City? Au kwenu hizo ni game nyepesi kama ya Birmingham?
Dose ndio kama hivyo yaenda ikiongezeka kutoka 5 mpaka 7, lakini itabidi tuwapunguzie dose Manure maana si wagonjwa sana! Hahahahaha!
hivi almunia pale alikuwa anataka kuufanyaje ule mpira?
Ha ha ha ubingwa kwisha habari..lol
namjua howard webb lakini leo wenyewe tu uzembe wetu hatujui kupoteza mda kwenye injury time kama zile.Sijauona mpira wa leo mkuu, lakini hakuna mbaya point mbili advantage ndiyo imeporonyoka hiyo six games to go. Lakini si unamfahamu Howard Webb ... ....
Come on Gunners ... .... ...
walivyomchunguza zaidi wakati wa half time alionekana anaweza kuendelea.BTW fabregas kama aliumia kwa nini alicheza do you know?
mkuu huo mchezo kama umefuatilia miaka nenda rudi ndio unatupotezeshea makombe.sio uzembe, ni hofu ya barca. mawazo yote yalikuwa jumatano. hata listi ilipangwa kwa kuzingatia hilo - utamwekaje nasri benchi! na eboue akae nje muda wote! wenga kacheza kamari mbaya sana leo!
kwahio unasema tume sacrifice premier league kwa ajili ya champions league?sio uzembe, ni hofu ya barca. mawazo yote yalikuwa jumatano. hata listi ilipangwa kwa kuzingatia hilo - utamwekaje nasri benchi! na eboue akae nje muda wote! wenga kacheza kamari mbaya sana leo!
Currently Active Users Viewing This Thread: 10 (5 members and 5 guests)
Balantanda, Wacha1+, Abdulhalim, Baba Mkubwa+, Ng'wanza Madaso
Mpemba kalale bana...Naona ng'adu kwa ng'adu na sisi...Hahahaaaaaaaaa
Hawezi kwenda lala huyo, we ngoja next weekend kama hawatatoka suluhu kuna moja atalia chozi la damu
mkuu kinachokera hapa ni kwamba mpaka dakika ya 90 tunaongoza 1-0. zile 3 extra minutes tungekuwa makini kutokana na umuhimu wa mechi tungepata point 3.Msisahau kitu kimoja Manure na Chelsick hawakupata ushindi zaidi ya wetu walipokwenda kule kwao. Nimesoma hapa Arsene analalamika kwamba uwanja wao ni mbovu mbovu tu kama wa Chelsick. Ngoja niangalie ngoma sasa.