Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,581 Dakika zimekwenda 30 na Arsenal bado hawajaweza kuifungua ngome imara ya Swansea City ambayo inapigana kufa na kupona.
Dakika zimekwenda 30 na Arsenal bado hawajaweza kuifungua ngome imara ya Swansea City ambayo inapigana kufa na kupona.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,582 GOLI! Girouuuuuuuuuuud Swansea 0 Arsenal 1 Alexis Sanchez anapiga mpira wa juu ambao unamkuta Ozila ambae anamdondoshea Olivier Giroud ambae anamalizia kazi kwa kugunga goli la kwanza kwa Arsenal katika dakika ya 37.
GOLI! Girouuuuuuuuuuud Swansea 0 Arsenal 1 Alexis Sanchez anapiga mpira wa juu ambao unamkuta Ozila ambae anamdondoshea Olivier Giroud ambae anamalizia kazi kwa kugunga goli la kwanza kwa Arsenal katika dakika ya 37.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 14, 2017 #52,583 37min Gunners 1 up OG safi sana ... .. ..
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,584 Penalty imekataliwa kwa Swansea baada ya Ki kujidondosha
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 14, 2017 #52,585 Halftime .... ...... 0 - 1 ; Swans walikuwa wanalilia pen, refa katoa uamuzi sahihi hasa ukiangalia slow motion .... ..... ...
Halftime .... ...... 0 - 1 ; Swans walikuwa wanalilia pen, refa katoa uamuzi sahihi hasa ukiangalia slow motion .... ..... ...
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 Jan 14, 2017 #52,586 HT Swansea 0-1 Arsenal Tuko slow sana tunahitaji ku-press hard hii ni must win game aiseeeee.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,587 Ni mapumziko lakini Arsenal lazima washinde hii mechi ya leo. Goli moja halitoshi kabisa na Swansea wanaweza kulazimisha sare.
Ni mapumziko lakini Arsenal lazima washinde hii mechi ya leo. Goli moja halitoshi kabisa na Swansea wanaweza kulazimisha sare.
bepari la kichaga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 528 Reaction score 516 Jan 14, 2017 #52,588 Richard said: Ni mapumziko lakini Arsenal lazima washinde hii mechi ya leo. Goli moja halitoshi kabisa na Swansea wanaweza kulazimisha sare. Click to expand... Lazma tushinde mdau
Richard said: Ni mapumziko lakini Arsenal lazima washinde hii mechi ya leo. Goli moja halitoshi kabisa na Swansea wanaweza kulazimisha sare. Click to expand... Lazma tushinde mdau
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,589 Kipindi cha pili kimeanza na Arsenal wanacheza kwa umakini. Wanashambulia kwa malengo zaidi.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,590 Kona kwa Arsenal na inaokolewa. Inarudi tena langoni mwa Swansea. GOLI! Fabianskiiiiiii own goal Swansea 0 Arsenal 2 Alex Iwobi anambabatiza Lucas Fabiansi na anajifunga.
Kona kwa Arsenal na inaokolewa. Inarudi tena langoni mwa Swansea. GOLI! Fabianskiiiiiii own goal Swansea 0 Arsenal 2 Alex Iwobi anambabatiza Lucas Fabiansi na anajifunga.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 14, 2017 #52,591 54min that's like it ... ... ... . the goal credited to Iwobi.
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 Jan 14, 2017 #52,592 Atleast naweza kuinua glass yangu ya bia,sielewi kwa nini timu iko slow hivi.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 14, 2017 #52,593 60min OG out ..... ... Ox in
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,594 McDonaldJr said: Atleast naweza kuinua glass yangu ya bia,sielewi kwa nini timu iko slow hivi. Click to expand... Wanacheza kwa kujinafasi. Alex Oxlade Chamberlain anaingia badala ya Olivier Giroud.
McDonaldJr said: Atleast naweza kuinua glass yangu ya bia,sielewi kwa nini timu iko slow hivi. Click to expand... Wanacheza kwa kujinafasi. Alex Oxlade Chamberlain anaingia badala ya Olivier Giroud.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 14, 2017 #52,595 Ding .... Dong.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,596 Iwooooooooobi Swansea 0 Arsenal 3
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 14, 2017 #52,597 67min .... ... 3 up ..... ..... . second half Gunners turned up.
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 Jan 14, 2017 #52,598 Looks like malaika wa HERI yupo na Iwobi
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,676 Reaction score 8,246 Jan 14, 2017 #52,599 OG kaumia tangu mwisho wa kipindi cha kwanza sifahamu ni kitu gani, lets wait and see.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,698 Jan 14, 2017 #52,600 Sancheeeeeeeez