Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naskia PSG wanamtaka sana na wamemuhaidi donge nono sana.

Ebwana siku akiondoka huyu mzee nitafanya bonge la party japo najua tutayumba.
Si ni mpaka aondoke ! sera yake ya kubana matumizi inaendana na matajiri zenu mtaendelea kumuona hapo mpaka aamue mwenyewe kuondoka
 
Hawa ndezi wa La Chaaz eti wanaonyesha game ya manure agggghrrr [emoji16][emoji16]
 
Aseno the maandazi (washika magobole) mko hoi dadadeki zenu, mlianza na mkelele sasahivi Wenger out[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Arsenal haina tofauti na demu wa kilokole hahaha ..arsenal ni mojawapo ya vitu vnavyoniondolea stress hahaha
 
Arsenal haina tofauti na demu wa kilokole hahaha ..arsenal ni mojawapo ya vitu vnavyoniondolea stress hahaha

Kuna kauli ukizisikia inabidi ujiulize mwenzetu alizaliwaje ni sawa kuna ku-troll ila tuheshimu imani za watu.
 
Reactions: PNC

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…