hakuna game rahisi wakati huu wa ligi,kila mtu anapigania nafasi nzuri.
Hii game itakuwa tough sana kwenu
na nyinyi hao bolton wanaweza kuwaliza hiyo kesho.
Owen Coyle - big Ferguson fan.
FERGUSON TEACHING COYLE SO MUCH
By Ian Parkes, Press Association Sport
"He's been terrific for me. Anytime I've needed a bit of advice, he has been there, and I've a lot to thank him for.
"I don't think I've a better relationship with him than anybody else, but what I do know is, if I need any advice then he is there for you, and that's a measure of the man and the quality he has."
...nami machale yananicheza. 🙁
ugumu wenyewe utatokana na injuries, au 'phobia' ya injuries kwa wachezaji wetu...
Wajinga sana hawa 'Brummies', there's nothing to lose lakini kwakuwa ni Arsenal watachezea sifa!
Ndo raha ya mpira ati 😀
....ha ha ha!,
....duuuh, hebu tuache bana na timu yetu! ...kwani wewe unashabikia team gani bana, mbona unabondea tu? 😀
Kwanza mko ugenini na hao jamaa ni wakali then tarehe 30 mnacheza na Barca huenda Mr Bean akapumzisha baadhi ya wachezaji...nami machale yananicheza. 🙁
ugumu wenyewe utatokana na injuries, au 'phobia' ya injuries kwa wachezaji wetu...
Wajinga sana hawa 'Brummies', there's nothing to lose lakini kwakuwa ni Arsenal watachezea sifa!
Rossoneri.
Kwanza mko ugenini na hao jamaa ni wakali then tarehe 30 mnacheza na Barca huenda Mr Bean akapumzisha baadhi ya wachezaji
Kwanza mko ugenini na hao jamaa ni wakali then tarehe 30 mnacheza na Barca huenda Mr Bean akapumzisha baadhi ya wachezaji
kikosi kamili kinachoanza kishawekwa mkuu hiki hapaPossible starting XIs
Birmingham: Hart, Carr, Johnson, Dann, Ridgewell, Bowyer, Ferguson, Fahey, Gardner, McFadden, Jerome.
Arsenal: Almunia, Sagna, Campbell, Silvestre, Clichy, Nasri, Fabregas, Song, Rosicky, Arshavin, Bendtner.
............sky sports