Kwa hapo tupo pamoja huyo babu yenu anazeeka vibaya ile kitu mpaka sasa hivi sijaielewa alimaanisha nini! pana kasi flan hivi mnayo hata lile goli lenu ilikuwa counter flan hivi very amazing ila mkija kupoteana sana duh inakuwa kazi thanks mna golikipa anae timiza majukumu yake mpaka ya ziada angekuwa yule dogo mlio mpeleka roma sijui au labda angekuja ku improve.
Umeibuka khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aliyeanzisha mada kakimbilia Real Madrid oooops Salamander oooops .....@GT tumemuomba abadili hizo picha kakataa, then mods wana wivu na threads za Gunners uliza iko wapi ''New Era at the Emirates'' imekomelewa kwa sababu ya husda tu khe khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. welcome back anyway.
Pamoja na kushindwa game ya leo timu yako bado inacheza kila Ali Hamisi khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee magoli yao yote mawili yana utata ... .... ..
Tatizo la timu yenu mnaweza kuwa mna upungufu wa back line babu yenu anaenda kununua mshambuliaji kajaza hapo mido nyingi na kuzitumia hatumii na kwa mfumo wake wa kuuchezea sana mpira inabidi wawe wana badilishana matokeo yake hao wanao tumiwa sana wana jam hapo zimebaki game 11 ligi iishe ndo maana watu huwatabiria kuwa kuanzia Feb au March mnakuwa mmechemsha.Huyu Babu ni noma sana anaharibu motivation ya timu kabisa. Wakati wa summer alitaka kumuuza Girourd naye hakupenda kuuzwa lakini akakosekana mnunuzi sasa nadhani Girourd alimsemea hovyo hivyo adhabu yake msimu huu hajaanza hata mechi moja pamoja na kuwa ni tishio kubwa anapokuwa kwenye eneo la mihuuu 18 ya mtu mzima mwenye akili timamu. Aanendelea kusugua benchi tu hasi zibaki 15 to 20 minutes ndiyo jamaa anamuingiza. Hali ikiendelea hivi sitashangaa kuona Girourd akiondoka msimu ujao.
Ntuzu wew mbaya sana, huyu ni chalii ya Arusha anapambana mjini kati na watalii
Kwahyo we unadhani hata akitaka kuondoka akihojiwa atasema arsenal siipendi, nimepachoka nataka kuondoka? Lazima awafariji wagonjwaarsenal is not one man team alikuwepo van purse yupo wapi.amehojiwa na sky sports anasema yupo poa arsenal atasign extension tu.acha Maneno ya mitaani
Kaka nimejitahidi sana kuwafariji.Jamani tutoeni pole turudi kwetu majirani msiba ulio wakumba mkubwa tuwape maneno ya faraja kama hivi.
Kwa kweli siyo rahisi kufurahia anguko la timu yako..... anyway hilo ni chaguo lako inabidi ulikubali tu..... huku kuna kawimbo fulani kanaimbwa kwenye harusi kanasema hilo ni chaguo lako.....hata kama ni mfupi hilo ni chaguo lako.....kwa leo naomba na mimi nikuimbie juu ya Wenger....Ndiyo kikwazo kikubwa cha timu yetu kufanya vizuri kwenye mashindano mbali mbali. Na makosa yake ni kuanzia kwenye usajili wa timu, upangaji na mikakati ya kupata ushindi katika mashindano mbali mbali. Msimu huu nilisema nitafurahia kila mechi ambayo Arsenal itafungwa ili Wenger aondolewe haraka iwezekanavyo lakini si rahisi everlenk kufurahia pale timu yako uliyoipenda kwa kipindi kirefu inapofungwa na hasa ukijua fika ina uwezo wa kushinda mechi nyingi tu.
Hahahahaha BAK bana mimi tatizo nina huruma sana,kama jana nilipanga nicheze kigodoro cha haja humu ndani ila nilipoingia duhhhh!!! Nikajikuta naskia huruma halafu nikafeel yale maumivu napataga wakati timu yangu imefungwa nikajikuta nakuwa mpole tu.Kwa kweli huwa unajitahidi sana everlenk, naweza kusema unahusudu sana chama letu ila hutaki kuonekana hivyo hadharani πππ
Ndio darja la uungwana hilo linapotokea la kutokea kufarijiana ni jambo jema kabisa.Kaka nimejitahidi sana kuwafariji.
Kwa kweli siyo rahisi kufurahia anguko la timu yako..... anyway hilo ni chaguo lako inabidi ulikubali tu..... huku kuna kawimbo fulani kanaimbwa kwenye harusi kanasema hilo ni chaguo lako.....hata kama ni mfupi hilo ni chaguo lako.....kwa leo naomba na mimi nikuimbie juu ya Wenger....
[emoji445] [emoji445] [emoji445] hilo ni chaguo lenuu....hilo ni chaguo lenu..... [emoji445]
hata kama hana mipango.ni chaguo lenu...[emoji445] [emoji445]
[emoji444] [emoji443] [emoji442] Hata kama ni wa nne kila mwaka ....ni chaguo lenu.
Lol!! Sikupanga kukuumiza my dear[emoji85] dont bother...... jana nimekusubiri nikupe mahabat hata hukuja huyu Wenger hata siyo mtu mzuri kabisa!
Mateso bila chuki kawimbo kana maneno makali lakini yana ukweli BAK inabidi ustahmil ndugu yangu maana kawimbo kanalevya kuliko pombe.Kwa kweli siyo rahisi kufurahia anguko la timu yako..... anyway hilo ni chaguo lako inabidi ulikubali tu..... huku kuna kawimbo fulani kanaimbwa kwenye harusi kanasema hilo ni chaguo lako.....hata kama ni mfupi hilo ni chaguo lako.....kwa leo naomba na mimi nikuimbie juu ya Wenger....
[emoji445] [emoji445] [emoji445] hilo ni chaguo lenuu....hilo ni chaguo lenu..... [emoji445]
hata kama hana mipango.ni chaguo lenu...[emoji445] [emoji445]
[emoji444] [emoji443] [emoji442] Hata kama ni wa nne kila mwaka ....ni chaguo lenu.
Lol!! Sikupanga kukuumiza my dear[emoji85] dont bother...... jana nimekusubiri nikupe mahabat hata hukuja huyu Wenger hata siyo mtu mzuri kabisa!
Hahahahaha BAK bana mimi tatizo nina huruma sana,kama jana nilipanga nicheze kigodoro cha haja humu ndani ila nilipoingia duhhhh!!! Nikajikuta naskia huruma halafu nikafeel yale maumivu napataga wakati timu yangu imefungwa nikajikuta nakuwa mpole tu.
Fanyeni kweli sasa!! ila tatizo Hisa zake wala hamna ubavu huo wa kumtoa.LOL! Mchokozi wewe tena mchokozi sana ila umenifanya nimetabasamu. Ni chaguo letu lakini linapoanzwa kupigwa vita basi wahusika ni lazima watie akili kichwani na kuamua kufanya kweli ili kuondoa haya maumivu ya miaka chungu nzima sasa. Mahabat ya everlenk! naweza kuchonga mzinga halafu ikawa shida bureeee! Watu wengine wanatembea na bastola kiunoni πππ
Aiiii!!! Usiogope kizuri kula na mwenzioLOL! Mchokozi wewe tena mchokozi sana ila umenifanya nimetabasamu. Ni chaguo letu lakini linapoanzwa kupigwa vita basi wahusika ni lazima watie akili kichwani na kuamua kufanya kweli ili kuondoa haya maumivu ya miaka chungu nzima sasa. Mahabat ya everlenk! naweza kuchonga mzinga halafu ikawa shida bureeee! Watu wengine wanatembea na bastola kiunoni πππ
Fanyeni kweli sasa!! ila tatizo Hisa zake wala hamna ubavu huo wa kumtoa.
Aaaahhhh mimi hawa watu wote wamenikalia vibaya huyu Liver akishinda ataniacha zaidi,Everton atanikaribia kwa zaidi....ahhh mm nawaombea wauane kwa droo ila ikishindikana sana namtoa kaka sadaka.Bora uendelee na huruma zako hivyo hivyo badala ya kutuongezea maumivu ya kumoyo. Nasubiri mchapo wa Liverpool huu utakuwa mkali. Nadhani unajua nataka timu ipi ishinde ila sitaki kumuudhi yule Malafyale LOL!