UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
So now ni record kaka unafailI like the confidence lakini rekodi yetu inatuonyesha tupo hovyo vs some teams in the round of 16. Tuombe Mungu tukwepe baadhi ya timu hizo. I can take Leverkusen, Benfica ,Porto maybe Sevilla right now. Hata hivyo sio guarantee kuwa tutakwenda QF...
Jamaa amekua muoga Sana aisee!kama mdau mmoja alivyosema sijui ni Nani nimesahau kidogo, tushakutana na kila Aina ya balaa katika mashindano haya tunapofika hatua hii, hivyo there is nothing to worry about ni kuendelea kupambana mpaka mwisho.So now ni record kaka unafail
Jumamosi nitakuwa jukwaani kwenu mkicheza na SPURShongereni kwa ushindi.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Wivu utakuua mimi nione aibu kwa jina la bandia khe khe kh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Ati unajiita pablo mtakoma mwaka huu na Wenger haendi kokote, nafahamu moyo unakuuma, wewe endelea kucheza kila Ali Hamisi au sintofahamu, mziki wetu mnauona na ndio chanzo cha wivu wa kike khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Prof hawezi kuchukua Kikombe cha Mbuzi hilo ameapa hadi atakapoamua kubwaga manyanga khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. sana sana atalitumia kuwachzesha vijana wakomae na ushindani.Leo kimekuwa kikombe cha mbuzi. Bora ungenyamza tu kuliko kujiaibisha kaka.
Hahahaha Arsenal to kill Real Madrid or Bayern Munich in last 16...
Chief tatizo lako ni nini recently kama sielewi unawaza nini?
We jamaa uko reasonable kishenz yaanLook it at a deeper picture. Realistically, Arsenal chances to beat either Real Madrid or Bayern Munich are slimmer to none. Tunaweza kujidanganya kwa unazi kuwa hatuogopi tutakayepangiwa lakini ukweli ndio huo. Ndio maana timu inakazania kumaliza at top spot ili ipate an easier draw. Last 7 UCL seasons Arsenal waliprogress out of last 16 mara moja na ilikuwa vs Porto season ya 2008/2009. Misimu mingine tulitolewa na Bayern Munich(mara 2), Barcelona(mara 2), Borussia Dortmund (Not sure) na Monaco. Kitu kimoja ambacho hapa JF na hasa wapenzi wa mpira wa kiafrika tupo kiunazi zaidi huwezi kukuta mtu(me included) anakuwa critical juu ya timu yake inapofanya vibaya tunatafuta visingizio vinavyotuliwaza. Na huu ndio ukweli.
Look it at a deeper picture. Realistically, Arsenal chances to beat either Real Madrid or Bayern Munich are slimmer to none. Tunaweza kujidanganya kwa unazi kuwa hatuogopi tutakayepangiwa lakini ukweli ndio huo. Ndio maana timu inakazania kumaliza at top spot ili ipate an easier draw. Last 7 UCL seasons Arsenal waliprogress out of last 16 mara moja na ilikuwa vs Porto season ya 2008/2009. Misimu mingine tulitolewa na Bayern Munich(mara 2), Barcelona(mara 2), Borussia Dortmund (Not sure) na Monaco. Kitu kimoja ambacho hapa JF na hasa wapenzi wa mpira wa kiafrika tupo kiunazi zaidi huwezi kukuta mtu(me included) anakuwa critical juu ya timu yake inapofanya vibaya tunatafuta visingizio vinavyotuliwaza. Na huu ndio ukweli.

1.Draw bado ila ushaanza kuogopa kuhusu nani unakutana nae huu uoga kiwango cha lami.
2.Arsenal acha tukutane na timu yoyote hakuna jipya ambalo hatulijui kwenye UCL tushacheza na miamba kibao.
3.Hatujawahi kuchukua ndoo ya UCL na mafanikio yetu ni final tu kwenye mashindano ya UCL tangu na tangu labda kama una jipya ambalo sisi hatulijui.
4.Ukiona hauna imani na Arsenal kipindi hiki sogea Madrid jamaa wana mafanikio kuliko timu nyingine UCL.
5.We're GOONERS leo,kesho na milele na hatujawahi kua waoga kabisa na hizi nadharia zenu hazijawahi kutufanya wanyonge.
6.Mimi ni mfuasi wa SOKA na Arsenal ni dini yangu.
Hiki ndicho nachosema. Ushabiki wa kinazi bila kuangalia reality ilivyo. Ndio tumeshacheza muda mrefu katika haya mashindano. Lakini ukweli utabakia hapa kuwa ni vizuri kukwepa baadhi ya timu (kali kuliko sisi) katika mashindano haya, hiyo ndiyo inayoitwa LUCK unayotakiwa kupata. Kusema kuwa hatuogopi kukutana na timu yoyote then unatolewa katika ngazi hiyo hiyo misimu nenda rudi sio Kweli na ni kujidanganya. Kuwa critical sio uoga, sio kuwa disloyal kwa timu yako...