McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Aisee hahahaaa sisi kwenye hayo mashindano hatupo, inakuaje mnawazia timu ambayo sio opponent wako kwenye mashindano, hahahaaa
BTW hongereni kwa kutop the table
Hii ni CL kama unataka mpira wa Ali Hamisi hamia Manure au wale wengine chijui wanacheza wapi wapo wapo tu muulize Mungiki Brother au amekuwa Invisible. We can play any team, tupo vizuri mechi ya kwanza away return leg Emirates. Bring them on [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]LOL round of 16 tunaweza kupangia vs R.Madrid/Borussia Dortmund, Juventus/Sevilla, Bayern Munich, Leverkusen or Benfica moto bado upo pale pale kwa maoni yangu.
Last few seasons tulitolewa round of 16. Last season tulikuwa na nafasi nzuri ya kusonga mbele tuka-dema dema. Hicho ndicho nachosema. Underestimating some teams ndicho kinachotuangusha.
Ozil alishaondoka na mpira wake pia...Tuendeleee na hatrik tu hamna namna jumamosi sanchenga kajiondokea na mpira wake, Leo Perez kajisepea na mpira wake, next weekend ajiandae mwingine kuondoka na mpira maana hakuna namna nyingine sasa
Chagueni mnataka hat trick ijayo afunge nani?
Leo kimekuwa kikombe cha mbuzi. Bora ungenyamza tu kuliko kujiaibisha kaka.Mkuu usiwe na wasi wasi, msimu huu tumepoteza mechi mbili tu, mechi ya kwanza ya EPL fungua dimba na Loser fools na mechi ya kombe la mbuzi Southampton, so what exactly do you want? Tuna kikosi kikubwa sana na kila mchezaji akiingia unaona kama Leo Lucas ambaye alikuwa majeruhi bado tuna kikosi cha ushindi mtashangaa what will happen this year. Ding ... Dong.
BTW wanaocheza Ali Hamisi wangependa nafasi yetu popote pale iwe CL au PL khe khe khe khe khe ke kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Yani rubaman hakuna siku unaiman na arsenal naona Perez amekuprove wrongWin group or not it doesn't guarantee that we will progress past round of 16. You have to beat the next opponent to go through
Emb tuache unabii tuache dakika 90 ziwe zinazungumzaNavyowajua Arsenal watadhani round of 16 ni easy cake then watatolewa kama ilivyokuwa last season vs Monaco
Jamaa huwa hanaga imani kabisaDuh.....!
Sijawah kuofia arsenal yanguLOL round of 16 tunaweza kupangia vs R.Madrid/Borussia Dortmund, Juventus/Sevilla, Bayern Munich, Leverkusen or Benfica moto bado upo pale pale kwa maoni yangu.
We jamaa unanipaga raha saana that's gunner spiritBring 'em sisi ni Arsenal we aint scared maana hata tungemaliza wa pili lazima tungepata wapinzani tu ishu ni kukomaa 16 bora.