Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] arsen wenger sio mtu wa sport sport bhana, hapendagi vikombe vya mbuzi ye anapenda EPL na UEFA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyo mzee hajawahi kuwa serious
 
Wazee wakulalamika miaka 100. Hahaha mtaisoma namba.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]
[emoji778]
 
Huyo mzee hajawahi kuwa serious
Mzee Wenger ni mtu wa ajabu sana!
Hana uhakika wa kuchukua EPL,FA, WALA CHAMPIONS LEAGUE na alibakiza mechi tatu kushinda angalau taji,na bado ameshindwa kua sirias!huyu Mzee tukubali tukatae ameshachoka!

Tunataka mtu awe na mzuka na hamu ya kufanikwa Si tu kwenye kuiingizia club pesa bali pia kushinda makombe,na kushinda makombe kunahitaji usirias wa kiwango cha juu sana ambao kila nnapomwangalia Mzee Wenger simuoni nao.
 
hahaha...........Loh wafiwa hawa walijisahau kuwa kila mwenye mwili ataonja umauti.
Jamani tuliambiana tuje tuwape pole tu hayo maneno mengine yanawaumiza kweli ila ndio haki hiyo wacha turejee kwetu kuzuri leo huwezi kuwaona kule.
 
muosha huoshwa..........ila ngoja niache.
poleni sana wapendwa.......tuko pamoja.
Heeeeeee!!!! Naona mmeamua kuja kushinda kabisa chama chenu kizuri kweli cha kufa na kuzikana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .........Kuna kale kajamaa kalikovaa suti kanashinda Kwetu umekaona? Mwambie nimemletea zawadi ya ua.. [emoji253]
Jamani tuliambiana tuje tuwape pole tu hayo maneno mengine yanawaumiza kweli ila ndio haki hiyo wacha turejee kwetu kuzuri leo huwezi kuwaona kule.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…