Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Prof ana-develop Granit Xhaka/Elneny axis ... ..... Ding ...Dong
 
Alexis na Theo ... ...

Kitaeleweka tu mwaka huu .... .... .[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Next EFL cup Southampton - Emirates J5 ..... ....... ....... [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Kinachofurahisha kwa mashabiki wa Arsenal ni, as long as wako top four basi wao roho kwatu. Nawatamania sana na kuridhika kwenu. Mimi tukimaliza wa pili bado naumia...
 
Mr bean alishasema kucheza uefa ni zaidi ya kuchukua EPL, na mashabiki wao walivo na akili za kushikiwa walimuunga mkonyo na wako nae sambamba
[HASHTAG]#inwengertheytrust[/HASHTAG]
 
Wakati wenzetu wana tathmini wamechezaje mechi 13 za ligi msimu huu, tusisa
Kinachofurahisha kwa mashabiki wa Arsenal ni, as long as wako top four basi wao roho kwatu. Nawatamania sana na kuridhika kwenu. Mimi tukimaliza wa pili bado naumia...
Watu wa mafuriko ya jangwa la Sahara bwana mna mambo. Muda si mrefu mtaanza kumtukana Muitaliano kama Mlivyowatukana wengine. Subiri jua litoke mafuriko yataisha.
 
Arsenal scored ten goals from just eleven shots on target in November

Ding .... Dong. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Kinachofurahisha kwa mashabiki wa Arsenal ni, as long as wako top four basi wao roho kwatu. Nawatamania sana na kuridhika kwenu. Mimi tukimaliza wa pili bado naumia...

Wacha kelele wewe Chelsick mmeanza kuchukua vikombe baada ya mwizi Abraham vick kununua club chacha kono mbele ... .khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hahaha nyie hamuwezi kuiba? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sina matumaini na ushindi mechi ya leo. Na sitanung'unika tukitolewa, majeuhi yanaongezeka kila mechi, tukiondolewa itasaidia kutupa muda wa kupumzika .

League cup na International break hua nazichukia vibaya mno yanaleta injuries na uchovu wa kibwege sana ni game ambazo zinanipa wakati mgumu kuwaangalia wachezaji wa Arsenal natamani AW apeleke squad ya 3 tu liwalo na liwe.
 
Ngoja Tuone Sizan Kama Ataweka Full Mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…