Arsenal (The Gunners) | Special Thread

NOVEMBER

Naona tayari umeanza kubaki mwenyewe hapa
 
Eneo la kiungo hatuna balaa sana kuna possibility ya kufanya replacement

Naona unajaribu kufanya makisio mkuu angalia vizuri alafu sema nani hayupo.
OK mmebaki wawili ,kuna jamaa mmoja huwa anaongea pumba sana siku hizi simuoni,amejipa ban ?
 
Asante mkuu hapa ndio nitapata updates usiache kunijuza.


Giroud does it again. This time not off the bench but from the spot. He steps up to slot the ball low past Areola. There were a lot of handbags before the penalty was taken as Cavani tried to hold onto the ball. He then appeared to shove Ramsey in the chest and the Welshman then holds his face. Cavani then appears to take offence of Giroud trying to calm him down as they make their way to the tunnel.
 
Olivier Giroud's penalty was Arsenal's first shot of any kind against PSG tonight.

Shots hazina msaada sana mpwa unakumbuka tulikua tunakua na shots milioni alafu tunapigwa mkawa mna cheka sana nashangaa siku hizi hatuna muda na hizo off or on target bado mnacheka.
Last game na Manure waulize walikua na shots ngapi na matokeo yalikuaje sasa ivi mpango ni kuto-drop 3 pts kwa namna yoyote

Hii picha haina kabisa uhusiano na maelezo yangu usiipe umuhimu wowote.
 
Kwani vepeeee jamani?
Naona 'wachawi' ndio wanatoa updates humu.
C'mon gooners...

Haaaa haaaa niko hapa jamvini na ndugu zangu katika soka Belo,Mentor na Herrera tunapeana habari nahisi huu usiku wa UCL hauwasu moja kwa moja ila wako kwa mkopo mahali fulani.
 
Internet ilikata... OG naona anawanyamazisha ma-haters kwa mara nyingine
 
Hawa watu bwana?Hivi shots zina maana gani kama zisipozaa magoli?
Tunaweza toka na shots 2 full time na 3 points.

Naungana na wewe...hakuna kudrop points 3 safari hii...hata kwa shot 1
 
Haaaa haaaa niko hapa jamvini na ndugu zangu katika soka Belo,Mentor na Herrera tunapeana habari nahisi huu usiku wa UCL hauwasu moja kwa moja ila wako kwa mkopo mahali fulani.
Haya bwana mimi nalala nakuachieni jamvi.
All the best
COYG
 
Hii ni November so far sijaona jipya ambalo Arsenal wamefanya msimu huu,karibia msimu wa 10 huu tunajua ni wakati gani Arsenal wataanza kuchemsha ,huko nyuma mlikuwa mna kisingizio cha majeruhi msimu huu sijui mtasingizia nini
 
Hii ni November so far sijaona jipya ambalo Arsenal wamefanya msimu huu,karibia msimu wa 10 huu tunajua ni wakati gani Arsenal wataanza kuchemsha ,huko nyuma mlikuwa mna kisingizio cha majeruhi msimu huu sijui mtasingizia nini

November inaondoka hii chief na bado kwenye EPL tumepigwa game 1 tu na Livapuli labda tusogeze mwezi mwingine.
 
Jenkinson ananipa hofu at RB... Tuombe Bellerin apone upesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…