Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Denilson kaweka bao safiii kacheza na sambaaa kidogo.Sisi 1 wao 0.
 
mie naona hata hao Barca ni wetu tu lazima wapate kichapo hapo imarati.
 
asante refa naona umeona mechi 7 kufikia ubingwa karibu sanaa.umetuondolea beki wetu tutafika tu.
 
maybe wenger should risk appealing for that red card looks harsh to me.

sidhani kama ilikuwa maksudi manake macho yake yote yalikuwa yame focus kwenye mpira.
 
ngoma nzito sana ,inabidi song harudi pale nyuma kumsaidia campbell,ben acheze mbele peke yake na baadae amtoe nasri au arshavin amlete diaby kusaidia kukaba kati.
 
ngoma nzito sana ,inabidi song harudi pale nyuma kumsaidia campbell,ben acheze mbele peke yake na baadae amtoe nasri au arshavin amlete diaby kusaidia kukaba kati.

Jamaa watashambulia ile mbaya baada ya HT, lakini tukiweza kufunga la pili basi tutawamaliza nguvu kabisa.
 
A bit harsh sending off kwa Vermalen...
Poor decision i think.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…