McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Gibbs,Walcott, Cazorla and Monreal will probably miss the NL derby. Not looking good.
Gibbs,Walcott, Cazorla and Monreal will probably miss the NL derby. Not looking good.
Santi will miss so as Gibbs
Nacho,Theo and Bellerin will be there after conducting late fitness test on them, but know that they are all in FULL TRAINING
Source : Arsene wenger Press conference Today
Issue ya Santi inanipa woga mkubwa. Isije kuwa yawe yale yale ya msimu uliopita...
woga wako tu....kocha sasa ana depth ya maana ndo maana Hataki kutake RISK zisizo na msingi kabisaIssue ya Santi inanipa woga mkubwa. Isije kuwa yawe yale yale ya msimu uliopita...
Kesho itabidi tuuze mikono na miguu ili tupate ushindi. Naona pensioners wanawafanyia mbaya Everton.
Mi Sina imani name Ramsey kabisa sijui kwanin babu anamuelewa huyu jamaaHalafu timu kama Everton zikikutana na Arsenal zinacheza "die hard" kichizi.
Leo wapo ndembendembe, 3-0 mapumziko.
Wenger kesho anataka kumuacha Xhaka na aanze na Coquelin, Elneny na Ramsey.
Anasema lazima Xhaka atakuwa target na wachezaji wa Spurs.
Tatizo la Ramsey hawezi defensive duties na kuchambulia kwa pamoja.
Mi Sina imani name Ramsey kabisa sijui kwanin babu anamuelewa huyu jamaa
Tami ananiboa Sana huyu jamaa Sema kuna wakati anasaidiaKatika wachezaji ambao Wenger anaweza kuwaruhusu kuondoka ni Ramsey, kwani kwa asili Ramsey ni namba 10 ambayo kwa sasa inachezwa na Ozil.
Hivyo Ramsey itabidi akubali kucheza kipindi cha pili, au kusubiri mtu aumie au mwakani afikirie kwenda timu ingine.