Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kinachoniudhi sasa hivi ni washenzi wa Facebook wameniblock... Arsenal wamenipunguzia machungu.
 


Arsenal ikienda Sofia inatakiwa kuwamaliza kabisa hawa jamaa ili kuwa na uhakika wa kuongoza kundi hili kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi.

Ila mechi na PSG hapo tarehe 23 November ndiyo itaamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…