Haaaa haaaa mpwa afadhali umekuja mapema nilitaka nikuulize ni msimu upi uli-bet na Inzi?
rubaman weka hapa hiyo post niliyosema hivyo. Nakumbuka ulishasema hili na nikakwambia weka post ambayo nilisema hiyo bet kwamba Goobers wakichukua back to back FA titlea nitavaa jersey yao. Ukithibitisha nilisema hivyo, nitatimiza bet yangu, tena kwa kununua jersey ya Goobers, napiga nayo picha, kisha naitupilia mbali..
Sasa nitajua kama ni kweli nilisema hivyo? Why should I trust your words bro?Unajua kutafuta hiyo post ni vigumu kama kutenganisha sukari na mchanga wa beach. Endapo JF wangekuwa na option ya kuweka memory za kufanya hivyo ingekuwa rahisi ku-revisit. Lakini ni kweli ulishasema hivyo.
HAHAAA mkuu naikumbuka hyo diving header nadhani aliipokea cross toka kwa fletcher mbele ya jukwaa la stretford end vile vikongwe vikalia 2-1, na kesho tunavitumbua hivi walaa havinipi shida.Mkuu, Arsenal watasajili ikifika January ili kuongeza nguvu mzee Wenger anataka kuondoka na rekodi.
Vipi mmejiandaa jumatatu?
Unakumbuka hili goli?
Ozili hana huruma kabisa..Alitaka achane nyavu
Hahahaha hatari
Nasubiri tuwapige manure nje ndani nazungumzia mourinho|Arsenal 3-2 Swansea..
Mambo 5 tulojifunza jana...
1:Swansea ni zile timu wazungu wanaziita ''Bogie teams'' kwa Arsenal...yaani ni kama zimwi likujualo vile.In short, ni timu ambayo inatusumbua sana.Kama ilivyo Stoke City.Msimu ulopita walitupiga 1-2 pale Emirates..
2:Mara zote mechi ya ligi baada ya International break ni balaa...wachezaji wengi huwa wanarudi wamechoka sana..jana,Sanchez hakuwa kwenye kiwango chake,Monreal alipwaya kidogo kama wingback wa kulia baada ya kupelekwa sana na Barrow(aliyechezewa rafu na Xhaka)
3:Walcot,alikuwa moto jana!So far,goli 5 ktk mech 8 za Premier league...Infact alitakiwa apige hata hat-trick au goli4 kabisa...akiendelea hivi atatufikisha mbali.
4.Ozil,the Birth day Boy...kwa sasa naona anaongeza magoli ktk game yake...na anapiga magoli 'magumu' haswa.Technically goli alilofunga jana na lile la dhidi ya Chelsea,ni wachezaji wachache sana wangeweza kufanya vile..jamaa anafanya mpira uonekane rahisi kidogo..
5.Xhaka-red card ya kwanza, na kusababisha goli...jamaa inabidi aongeze nidhamu..next time red card ambazo sii za lazima zitaikosesha timu point za maana sana.
6.Kwa sasa tuna kikosi kikubwa sana.Ukiangaliwa wachezaji ambao hawakucheza-Ramsey,Giroud,Lucas Perez,Jenkinson,Elneny,Gabriel utaona kwamba timu imeenea haswa-kumbuka almost wote hawa ni wachezaji wa timu zao za taifa...Infact inasemekana Wenger ameamua kuwapa Giroud na Ramsey full pre-season exercises iliwarudi form...that's bold !
.....
Arsenal wananipa raha sana..Tatizo wakianza kubadilika utashangaa wapo nafasi ya nne..
Wenger hez bold and original at epl labda mourinho anae sua sua lakini wengine wote wajipangeMwaka huu tuna timu nzuri wakiendelea kujituma na pia kuepuka majeruhi ya key players basi mwaka huu tuna nafasi nzuri ila Chelsea, Manchester City na Tottenham nao wazuri sana.
Tupite sàlama Ile miezi ya gundu kwa ARSENAL miezi ya 12 1,2 hii ndo miezi migumu kwetuMwaka huu tuna timu nzuri wakiendelea kujituma na pia kuepuka majeruhi ya key players basi mwaka huu tuna nafasi nzuri ila Chelsea, Manchester City na Tottenham nao wazuri sana.
TutapitaTupite sàlama Ile miezi ya gundu kwa ARSENAL miezi ya 12 1,2 hii ndo miezi migumu kwetu
Tukipita hapa basi itakuwa hatuna cha kupotezaTutapita
Tupite sàlama Ile miezi ya gundu kwa ARSENAL miezi ya 12 1,2 hii ndo miezi migumu kwetu
Tumekua bold from behind kiungo saf naweza sema kama winning mentality itaongezekaTukipita hapa basi itakuwa hatuna cha kupoteza