Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yeah meeen......!we're heading to the top tumesogea nafasi moja juu.

Jumatano ijayo tunacheza Emirates na Ludo Razjd kwenye CL na jumamosi itakayofuatia tupo nyumbani tena kuwakaribisha Middlesbrough.

Coquelin na Ramsey wapo fit

18 points kutoka mechi 18 si mbaya.
 
Hapana Mkuu nimegundua huko ninakozichukua huwa hawaweki picha nyingi za Gunners kama za baadhi ya timu kubwa tatu. Nadhani huyu anayezipost ana chuki binafsi na timu yetu.

Mpwa nakutegemea kwenye upambaji wa sherehe ya leo kwa mapicha mbalimbali naona unayabania.
 
Jumatano ijayo tunacheza Emirates na Ludo Razjd kwenye CL na jumamosi itakayofuatia tupo nyumbani tena kuwakaribisha Middlesbrough.

Coquelin na Ramsey wapo fit

18 points kutoka mechi 18 si mbaya.
Rekebisha mstari wa mwisho.
 
rubaman always unaacha kuangalia mpila
 
Jumatano ijayo tunacheza Emirates na Ludo Razjd kwenye CL na jumamosi itakayofuatia tupo nyumbani tena kuwakaribisha Middlesbrough.

Coquelin na Ramsey wapo fit

18 points kutoka mechi 18 si mbaya.
Coquelin sawa ila ramsey hapana
 


Birth Day Boi himself sheikh Özil kapiga mua mpira umeokotewa marikiti ya London wahuni wanauuza.

Cech game ya 50 duh yule chizi Mo' kwa Peter ninakushukuru sana.
 
Liverpool kesho nitaenda ibadani na hakika nitawaweka kwenye maombi yangu,niwatakie j3 njema mapema na msiniangushe.
kwanini mnalazimisha pressure zisizo za lazima, liver tutawaua na set pieces tu

Hongereni kwa point tatu
 
Mpwa vipi kipyenga bado?
naisubiri j3 nikiwa na chupa ya heineken baridiiiiii sina presha kabisa uku natia nia kwa majogoo heee heee.
HAHAAAA nilipoona tu ozillll nikaona bora niangalie la liga ni kachange chanel
 
kwanini mnalazimisha pressure zisizo za lazima, liver tutawaua na set pieces tu

Hongereni kwa point tatu

Mpwa umeandika uku moyo unakundunda naona maandishi hayatulii
aiseee mkikalishwa itakua booooonge la j3
 
ila arsenal kukaa pale kileleni kwa sasa hivi ni matatizo, maana presha ya ku mantain position itakua kubwa, itatupelekea tusifanye vizur cha msing ni ku close gape tusiwe mbali na mtangulizi
Usijali mkuu, ndio kipindi chenu cha kunawili hiki wala usiwe na presha, we subiri tu ifike February
 
Mimi nina swali naomba kuuliza hapa ndani.

Hivi vile vitambaa ambavyo wachezaji siku hizi wanavaa (vyeusi) huwa vinaashiria nini, maana mimi nachojua anatakiwa avae nahodha je kwa hawa wengine wanapovaa huwa vina maana gan?

Msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…